Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

Hatutaki kuona hizi takataka nyeupe zinarudi huku Africa. Tuliwafukuza mara moja na wabaki huko kwao. These are war-mongers, all they know is to fight. Hawajui kusaidia nchi masikini kujenga barabara ama railway kama ambavyo China wanafanya. Chinese wamesaidia Kenya sana kwa kujenga infrastructure. Lakini these white f*ckers all they know is to bring war wherever they go. Any country they touch inakufa kifo cha mende. Angalia Libya saa hii vile inafanana. Angalia Yemen inapigwa bomb na Saudi Arabia kutumia bomb made in the U.S.A. Afghanistan wako vitani kwa miaka kumi na nane (since 2001). The middle east is a shit-hole right now because of these people. Waafrika tuwe makini, tusiwe tunakubali kila uchafu unaotoka kwa hawa majitu. Walianza kwa kutuletea bibilia takatifu, tukaishia kuwa watumwa katika nchi yetu. Jomo Kenyatta alisema "mzungu alikuja Africa akiwa na bibilia takatifu mkononi na akapata mwafrika akiwa anamiliki shamba. Mzungu akaambia mwafrika afunge macho ili waombe Mungu, maombi yalipoisha mwafrika akafungua macho. Mwafrika alishangaa kuona mzungu anamiliki shamba na mwafrika mwenyewe anamiliki bibilia takatifu"
 
Ila wakenya ukiwachunguza priorities zao unaweza ukachoka, wakenya ni watu wa hovyo sana akili zao zipo kama za bata kuna zile nchi kipaumbele kwenye ukombozi wa bara la Africa number one ikiwa Tanzania, sidhani kama wananchi wao wangefurahi namna wakenya wanafurahia kuona mzungu anafanya hivi kwenye nchi yao?

Kenya inamuhusudu mzungu sana na ndio maana hawa watu wanawakung'uta kama mbwa, kuanzia wachina, warusi na wageni wengi waishio Kenya wanawadharau sana wakenya ni watu hovyo kupita kawaida hasa wanapoiona rangi nyeupe huwa wanawehuka.

Ndio maana sikushangaa sana kipindi kile trump anaita African countries ni sitholes ni serikali Kenya pekee ilimtetea trump kitu ambacho Whitehouse wenyewe walishindwa kufanya.

Wengi mnakumbuka Obama aliposhinda urais Kenya ilikua ni holiday season mpaka marekani wenyewe waliwashangaa, these guys have some issues
 
😂😂😂 Sasa jomo kenyatta na hao wazungu wana tofauti gani kwenye suala la ujambazi wa ardhi ya Wakenya?
 
Failed state. Bure kabisa.

Watu wenye wanafurahi foreign bases nchi yao kweli wana upunguvu fulani.

Kenya inatumiwa na wabeperu na hapa wanakuja kuweka celebration!
 

Haya mavitu huwa balaa, kuna video fulani nilitazama yanavyowaondoa wapiganaji wa Alqeda, yaani usiku wamejificha vichakani lakini kifaa kinapita juu yao, wanaonekana kwa kutumia night vision cameras, wlichotwa mmoja mmoja wote ishirini. Kwa hili mashababi lazima yazae....
 
When they leave the Infrastructure will be left to us making it a win win situation. Geza Ulole itabudi ukubali we lead the so called leaders.
 
Plsee ambia ndugu zako wanaoshangilia humu Nanyuki pia kuna base ya Royal forces!
 
mkuu, hili sio jambo la kufurahia kwa nchi zetu za kiafrika, lakn tutafanyeje?.........


ieleweke wazi hawa jamaa kama kututawala wanatutawala tu bila ridhaa yetu.........


swali, hivi kenya ni ally wa US?....... kama zilivo korea ya kusin?
 
mkuu, hili sio jambo la kufurahia kwa nchi zetu za kiafrika, lakn tutafanyeje?.........


ieleweke wazi hawa jamaa kama kututawala wanatutawala tu bila ridhaa yetu.........


swali, hivi kenya ni ally wa US?....... kama zilivo korea ya kusin?

Afrika hatuna jeuri za kujiita ally wala nini, ukizingatia hata makombora tunanunua kutoka kwao, angalia nchi zenye uwezo wa kutunisha misuli, kwa mfano Iran na Korea Kaskazni, wao wana viwanda vya kujitengezea makombora. Sisi tunaagiza kila aina ya zana za kivita. Hamna chochote kinachouniwa huku Afrika, hata simu anayotumia Magufuli wenu kule ikulu imeagizwa kutoka kwa hawa jamaa, mifumo yote ya mawasiliano, anachosema hata kwa siri anatumia vyombo vyao....hehehe

Vifaa tunavyonunua kutoka kwao huwa vya kutishia nyau wenzetu Afrika lakini sio wale, au unajidanganya hizo ndege chache za JWTZ zinaweza kumkuna sehemu yoyote Mmarekani akiamua kutembeza kibano Tanzania. Yaani ndege moja ya kisasa ya Marekani imetosha kuwapiga kichapo jeshi lenu na mshindwe kuidungua, itakua inashusha mabomu kwenu na kurudi kwenye aircraft carrier kuongeza mafuta na makombora na kurudi kuendeleza kichapo.

Kwa hivyo kupiga makelele eti hatutaki waweke hayo mavitu yao kwetu ni ujuha, wayalete tu.....hizo drones.
 
nevertheless, bado hio sio nzuri sana kwetu sisi waafrika!.........


alafu maswala ya kupigana na hao hakuna mtu anaweza washinda!........


mie sijapenda wao kuweka bases kwenye nchi zetu za kiafrika!....... ni ubabe ubabe tu


ubaya wa hio base, hawataitumia kuwapiga kenya, wataitumia kuwasumbua somalia, na sisi hapa tukiendelea kuwasumbua!.......


itakua kama saudia (kwenye base zao) na yemen..........
 
Kaka unapandwa na hasira bure. America wako na military base pembe zote za Dunia. Including Germany, UK, Poland, New Zealand, Australia, Japan, France basically any point in the world utawapata. This is just a tag of superpower. Hata china sasa wameanza foreign bases.

The main reason for this bases is training and getting soldiers acclimated to the terrain and environment in that region ndio vita ikitokea anywhere, they have a ready force that is already acclimated to the weather, terrain and environment of that specific region.

Hii mambo ya ukoloni is misleading. Am sure Germans, French, Japanese are not being colonized, tuwache inferior complex. Sisi pia ndio tumewapa lease, wanalipa mabilioni ya pesa yearly.

Secondly hii Manda bay is just a camp, the only USA military base in Africa iko Djibouti. This camp has been around since the 80’s but was only formally recognized in 2004. it has nothing to do with Uhuru.

3rdly hii Camp Simba provides Kenya a lot of alshabab insurgency intelligence information. Drones are flown from here daily, alafu hio data is passed to KDF in Somalia, hapo ndio tunashinda hii vita na alshabab. We get the exact coordinates of the shabab groups advancing to Kenya’s border alafu KDF wana angusha bomb. This is the reason Kenya has not had any attacks recently.
 
Ng'ombe wa maziwa wa kizungu
 
Walitaka kuweka military base yao zanzibar lakini tulikataa

Let me ask you a question, what was the focal point of alshabab killings in Kenya? The tragedy came after US forced you to wage the planned war against so called terrorism from Somalia which mostly was because of the Somalian pirates and oil issues all of them are none of your business but US and other nobles businesses, funny enough Americans selling expensive weapons to you for them. It's a marvelous business indeed.

matokeo yake nyie ndio mliogeuzwa punching bag mauaji ya garisa, Westgate, mpeketoni, road bombs na mauaji mengine ya kushtukiza cost lives of hundreds of innocent Kenyans sababu ya ufinyu wa akili za viongozi wenu.

Na bado mtaendelea kuuwawa kama kuku, kila siku wanajeshi wenu wanauliwa kama nzi na msomali mbele ya royal and US troops altogether.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…