Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

Na wao wanawapiga na al shabab wao bila hata nyie kujua

Unafikiri yana Akili haya majamaa, ? Hata hayaelewi yenyewe yanadhani Marekani inawasaidia eti kupanbana na Al Shabaab
Dumbs of all time.
 
Tanzania tutaweka military base lini Marekani !!! Ili tuwasaidie kiu Salama kama marafiki zetu....
 
Mimi hata nikikaa na Wakenya huwa nawaambia wawaambie Vionhozi wao (Dumb Leaders) waondoe Wanajeshi wao Somalia, wajitoe kwenye Huo mchezo wa Kuzungukwa na US na Saudia
Walitaka kuweka military base yao zanzibar lakini tulikataa

Let me ask you a question, what was the focal point of alshabab killings in Kenya? The tragedy came after US forced you to wage the planned war against so called terrorism from Somalia which mostly was because of the Somalian pirates and oil issues.
Hebu tuelewane. Kenya iliingia Somalia kimabavu, bila ya support ya nchi zozote za magharibi, isipokuwa tu vikosi vya AMISOM, chini ya A.U, na nchi za Uganda na Ethiopia. U.S na U.K zilipinga vikali vikosi vya KDF kuingia Somalia. Kumbukumbu ya mgogoro huo ipo. Punguzeni pumba. FYI, siungi mkono uwepo wa kambi ya U.S Army Kenya. U.K au nchi yeyote nyingine sawa, U.S ni watu wa kuvuruga tu.
 
Afrika hatuna jeuri za kujiita ally wala nini, ukizingatia hata makombora tunanunua kutoka kwao, angalia nchi zenye uwezo wa kutunisha misuli, kwa mfano Iran na Korea Kaskazni, wao wana viwanda vya kujitengezea makombora. Sisi tunaagiza kila aina ya zana za kivita. Hamna chochote kinachouniwa huku Afrika, hata simu anayotumia Magufuli wenu kule ikulu imeagizwa kutoka kwa hawa jamaa, mifumo yote ya mawasiliano, anachosema hata kwa siri anatumia vyombo vyao....hehehe

Vifaa tunavyonunua kutoka kwao huwa vya kutishia nyau wenzetu Afrika lakini sio wale, au unajidanganya hizo ndege chache za JWTZ zinaweza kumkuna sehemu yoyote Mmarekani akiamua kutembeza kibano Tanzania. Yaani ndege moja ya kisasa ya Marekani imetosha kuwapiga kichapo jeshi lenu na mshindwe kuidungua, itakua inashusha mabomu kwenu na kurudi kwenye aircraft carrier kuongeza mafuta na makombora na kurudi kuendeleza kichapo.

Kwa hivyo kupiga makelele eti hatutaki waweke hayo mavitu yao kwetu ni ujuha, wayalete tu.....hizo drones.
This is cowardness of next level, even an animal can't drop to this coward level.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu ni jirani zetu, alafu mnamuhifadhi shetani lenye experience na kiu ya mauaji uchonganishi, ambalo linajua fika, Tz hatuwakubali. Instincts.
Stupid.


Mbona mna wasiwasi na nchi ni yetu? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sababu ni jirani zetu, alafu mnamuhifadhi shetani lenye experience na kiu ya mauaji uchonganishi, ambalo linajua fika, Tz hatuwakubali. Instincts.
Stupid.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo pekee aliyoyaleta Uhuru Kenyatta ni handshake - Moses Kuria.
Nahisi hii ndo handshake yenyewe aliyozungumza Moses Kuria

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Naona povu jingi sana humu! duh, mbona na mossad toka israel huwa wapo nchini siku nyingi tu, aman na shinbet.
Hawa hapa ni yamas unit , chini ya mossad, close quarters engagements na counter terrorism ndo mambo yao.
mossad.jpg
mossad1.jpg
mossad2.jpg
mossad3.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
********/******** sio rais wa Kenya, hajui chochote cha Kenya na hatambuliwi na yeyote huku Kenya.

Opinions zake ni zake na zenu tuu [emoji23][emoji23][emoji15]
Hawakawii hawa kuanza kuchonganisha raia na serikali zao ili muanze kutwangana hawa ndio magu anawaita MABEBERU . Shenz
 
Ni

ni kweli aliniambia jamaa yangu ni mjeshi israel idf sayeret matikal kwamba tomhwk moja inaweza kupiga vyema military base zote bongo na isifanywe chuchote yani noma sana
mlipuko wa tom hawark moja unaweza kuteketeza jengo la darasa moja tu kumbuka syria mwaka jana kapigwa tomhawark120 lkn jengo moja tu ndio liliteketea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio kambi ya Manda bay iko ndani ya Kambi ya KDF... Yani unaingia gate ya Kambi ya Kenya Navy alafu ukifika ndani ndo kuna gate nyengine ya hao wamarekani, hio kambi sio active operational base, ni Kambi Tu ya kutrain... Mojawepo ya training cercuits ya KDF special forces hufanyika hapo, kule side za Isiolo huwa wanafanya desert training, alafu upande wa Mt.Kenya hupelekwa kufanya winter na jungle training alafu hapo Manda bay wanafanya training ya sea na underwater operations...
Hao wanajeshi wa Marekani hawana ruhusa ya kutoka nje na kuzurura wala hawana ruhusa ya kupigana na alshabaab hata wawe kilomita tano nje ya hio kambi (e.g shambulizi la mpeketoni mwaka wa 2015 lilifanyika huko Lamu, na hao wamarekani walikua karibu na hawakutusaidia na chochote) na pia hawana ruhusa ya Ku launch active operation kutoka hapo Manda bay kwenda Somalia wala nchi nyengine jirani.. kazi waliyonayo hapo ni "Train and advice" ... Kama ni kweli hio base inapanuliwa basi ujue Marekani imekubali ombi la Kenya la Ku expand training operations to "joint training exercises" kama vile Marekani hua na joint Special forces training na nchi kama South Korea, Jordan, Is real, UK,Australia...etc Yani wanaleta wanajeshi wa kawaida na tuna train sote Hadi tumalize na Kua special forces, anachojua muamerika na wewe pia unajua manake nyote mlifundishwa pamoja, advantage ya training ya Aina hio ni kwamba Marekani hutumia vifaa vyake vya special forces ambavyo nchi kama yetu haina hela ya kuvinunua, na Kwa Marekani faida take ni kwamba mkitrain pamoja inakua ni rahisi kufanya joint missions siku za mbeleni manake tayari mnajuana na mlifundishwa pamoja..
 
Hio kambi ya Manda bay iko ndani ya Kambi ya KDF... Yani unaingia gate ya Kambi ya Kenya Navy alafu ukifika ndani ndo kuna gate nyengine ya hao wamarekani, hio kambi sio operational base, ni Kambi Tu ya kutrain... Mojawepo ya training ya KDF special forces hufanyika hapo, kule side za Isiolo huwa wanafanya desert training alafu hapo Manda bay wanafanya training ya sea na underwater operations...
Hao wanajeshi wa Marekani hawana ruhusa ya kutoka nje na kuzurura wala hawana ruhusa ya kupigana na alshabaab hata wawe kilomita tano nje ya hio kambi, na pia hawana ruhusa ya Ku launch active operation kutoka hapo Manda bay kwenda Somalia wala nchi nyengine... kazi waliyonayo hapo ni "Train and advice" ...
duh sasa ulitaka wakwambie wanachokifanya nje ya hayo mnayoyajua nyie?

hizo drone kazi yake ni nini ?

kwaiyo us na uk wanawapenda saana wakenya

hiyo kambi china anaitazamaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom