Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Hakuna drone base yoyote hapo, drone base ya Marekani iko Dgibouti na ukitaka unaweza kuona hio drone base hata Kwa satellite imagery.... na kama nilivyokwambia kambi Yao iko ndani ya Kambi ya KDF ambao nishawahi kuongea na wanajeshi ambao walikaa huko Manda na hata Ku train na hao wamarekani...duh sasa ulitaka wakwambie wanachokifanya nje ya hayo mnayoyajua nyie?
hizo drone kazi yake ni nini ?
kwaiyo us na uk wanawapenda saana wakenya
hiyo kambi china anaitazamaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena isitoshe, Marekani iko na Kambi Yao kule Mogadishu ambayo inajulikana ni active operational base ambako wana launch missions ndani ya Somalia, kwahivyo hakuna faida yoyote ya kuficha kinachofanyika ndani ya Kambi ya Kenya....
Jambo lengine, alshabaab hutumia boni forest kuingia Kenya tangu 2015, boni forest inapakana na Manda bay na Marekani haijawahi kujihusisha na operation yoyote...
Mchina naye anajenga bandari ya Lamu hapo karibu na Manda, labda uniambie Marekani anataka kuchunguza Hilo bandari lakini ukiniambia eti mission za Marekani huanzia hapo utakua unadanganya..
Ukitaka naweza kukuonyesha hata picha za special forces wa Rwanda na Uganda wakifanya training hapo Manda bay.