Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

duh sasa ulitaka wakwambie wanachokifanya nje ya hayo mnayoyajua nyie?

hizo drone kazi yake ni nini ?

kwaiyo us na uk wanawapenda saana wakenya

hiyo kambi china anaitazamaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna drone base yoyote hapo, drone base ya Marekani iko Dgibouti na ukitaka unaweza kuona hio drone base hata Kwa satellite imagery.... na kama nilivyokwambia kambi Yao iko ndani ya Kambi ya KDF ambao nishawahi kuongea na wanajeshi ambao walikaa huko Manda na hata Ku train na hao wamarekani...

Tena isitoshe, Marekani iko na Kambi Yao kule Mogadishu ambayo inajulikana ni active operational base ambako wana launch missions ndani ya Somalia, kwahivyo hakuna faida yoyote ya kuficha kinachofanyika ndani ya Kambi ya Kenya....

Jambo lengine, alshabaab hutumia boni forest kuingia Kenya tangu 2015, boni forest inapakana na Manda bay na Marekani haijawahi kujihusisha na operation yoyote...
Mchina naye anajenga bandari ya Lamu hapo karibu na Manda, labda uniambie Marekani anataka kuchunguza Hilo bandari lakini ukiniambia eti mission za Marekani huanzia hapo utakua unadanganya..

Ukitaka naweza kukuonyesha hata picha za special forces wa Rwanda na Uganda wakifanya training hapo Manda bay.
 
sasa kama magaidi wanaingia kenya na us hawawazuii hawana faida hapo

lete hyo pic ya rdf tuone na udf

Mchina anajenga kama contractor u pay him from the money u collected via debts!
 
Hio kambi ya Manda bay iko ndani ya Kambi ya KDF... Yani unaingia gate ya Kambi ya Kenya Navy alafu ukifika ndani ndo kuna gate nyengine ya hao wamarekani, hio kambi sio active operational base, ni Kambi Tu ya kutrain... Mojawepo ya training cercuits ya KDF special forces hufanyika hapo, kule side za Isiolo huwa wanafanya desert training, alafu upande wa Mt.Kenya hupelekwa kufanya winter na jungle training alafu hapo Manda bay wanafanya training ya sea na underwater operations...
Hao wanajeshi wa Marekani hawana ruhusa ya kutoka nje na kuzurura wala hawana ruhusa ya kupigana na alshabaab hata wawe kilomita tano nje ya hio kambi (e.g shambulizi la mpeketoni mwaka wa 2015 lilifanyika huko Lamu, na hao wamarekani walikua karibu na hawakutusaidia na chochote) na pia hawana ruhusa ya Ku launch active operation kutoka hapo Manda bay kwenda Somalia wala nchi nyengine jirani.. kazi waliyonayo hapo ni "Train and advice" ... Kama ni kweli hio base inapanuliwa basi ujue Marekani imekubali ombi la Kenya la Ku expand training operations to "joint training exercises" kama vile Marekani hua na joint Special forces training na nchi kama South Korea, Jordan, Is real, UK,Australia...etc Yani wanaleta wanajeshi wa kawaida na tuna train sote Hadi tumalize na Kua special forces, anachojua muamerika na wewe pia unajua manake nyote mlifundishwa pamoja, advantage ya training ya Aina hio ni kwamba Marekani hutumia vifaa vyake vya special forces ambavyo nchi kama yetu haina hela ya kuvinunua, na Kwa Marekani faida take ni kwamba mkitrain pamoja inakua ni rahisi kufanya joint missions siku za mbeleni manake tayari mnajuana na mlifundishwa pamoja..
Kuhusu ruhusa ya kuingilia ugomvi na alshabaab ni rules of engagement tu hapo wakiambiwa ingia wanaingia hata usiku wa manane...subiri siku US citizen atekwe hapo uone wanaovyoingilia shoo iwapo wanapewa amri ya kuingia bila kujali serikali ya Kenya inasemaje

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Uko sahihi kwamba Marekani akitaka kufanya yake, anaweza kufanya bila kuomba kibali, pia hata sio lazima awe na base kwenu, kule Pakistan hana base lakini operations zake zinafahamika ikiwemo kumuondoa Osama.
Hata hapo Bongo hebu mthubutu kuwalea mashababi al shetwani muone kama hatoingiza pua na drones zake na hamtomfanya kitu, mtaishia kung'aka tu.
 
Ndiyo maana nasema kuwepo kwao pale si maslahi yeni bali yao hata taarifa wanazowapa ni zile amabzo wametaka muwe nazo na siyo first class intelligence hiyo wanabaki nayo wao. Sasa hao wanini?

Sawasawa jenerali mkuu kutoka pale vijiweni.

We'll take it from here! [emoji23]
 
Afrika hatuna jeuri za kujiita ally wala nini, ukizingatia hata makombora tunanunua kutoka kwao, angalia nchi zenye uwezo wa kutunisha misuli, kwa mfano Iran na Korea Kaskazni, wao wana viwanda vya kujitengezea makombora. Sisi tunaagiza kila aina ya zana za kivita. Hamna chochote kinachouniwa huku Afrika, hata simu anayotumia Magufuli wenu kule ikulu imeagizwa kutoka kwa hawa jamaa, mifumo yote ya mawasiliano, anachosema hata kwa siri anatumia vyombo vyao....hehehe

Vifaa tunavyonunua kutoka kwao huwa vya kutishia nyau wenzetu Afrika lakini sio wale, au unajidanganya hizo ndege chache za JWTZ zinaweza kumkuna sehemu yoyote Mmarekani akiamua kutembeza kibano Tanzania. Yaani ndege moja ya kisasa ya Marekani imetosha kuwapiga kichapo jeshi lenu na mshindwe kuidungua, itakua inashusha mabomu kwenu na kurudi kwenye aircraft carrier kuongeza mafuta na makombora na kurudi kuendeleza kichapo.

Kwa hivyo kupiga makelele eti hatutaki waweke hayo mavitu yao kwetu ni ujuha, wayalete tu.....hizo drones.

DUUU Afrika ingekuwa na watu wa aina hii kipindi cha ukoloni au kupigania uhuru, kupata uhuru huu wa benders tulio nao, ingekuwa ndoto.

wee hujui kinachotawaliwa ni mtazamo na si uwezo.
wazee wa kweli wa Afrika walikataa kutawaliwa licha ya kuwa walijua wazungu wana nguvu kuwazidi. na wazungu waliona MTAZAMO wa waAfrika wa kutotaka kutawaliwa licha ya kuwa walijua KWAMBA wana nguvu kuwazidi waAfrika.
 
Hahaa with authorised access, unapiga tu ila wanakuonyesha cha kupiga and what not tu...Mashababi bila shaka joto la Trump wameliskia! maana kwa ss ivi reaper drones aina ya mq 9 na mq1b zipo nchini , wanaonekana na kuskika toka angani na baadae wanapokea salamu..View attachment 986713View attachment 986715View attachment 986716

Sent using Jamii Forums mobile app
sijui jilan zetu nmepatwa na nini aisee!!!! ngoja nfunge kwa Sara ili kuliombea taifa la Kenya maana mnapoelekea mtageuzwa mashoga wote including Uhuru and Ruto😢😢😢
hawa watu sio wakusujudia kabsa maan wamegeuza baadhi ya nchi kuwa sio sehem salama kwa maisha.......! off course wangekuwa marafiki wa dhati kwenu wangewapatia hzo drone angalau mtutishie jilan zenu tz ila kwa kuwa hao jamaa hawana ndugu wala rafiki ndo maana kdf inahangaika na f5 za kufukuzia ndege shamban wasile mazao😁😁😁😁😁kenya n moja ya maajabu saba ya dunia
 
kuikaribisha nchi yoyote ile ya dunia ya kwanza kijeshi nchini kama usa,china,urusi,uk, na nyingine ni kujiingiza katika migogoro yao moja kwa moja mfano usa akishambulia base ya urusi iliyopo syria basi missile hatari ksbisa eskander lzm utumwe kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nasema kuwepo kwao pale si maslahi yeni bali yao hata taarifa wanazowapa ni zile amabzo wametaka muwe nazo na siyo first class intelligence hiyo wanabaki nayo wao. Sasa hao wanini?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Hatuhitaji first class ntelligence maana hiyo ni level ya uhasama baina ya first world kama akina Russia vs USA, sisi tunahitaji uwezo wa kuwatishia nyie nyau wenzetu. Najua nini kinachowauma ndio maana mnatokwa mipovu na kudai mara ukoloni, mara uzalendo..pumba tupu.
 
Mkuu kama unawaona hao jamaa wajinga kujenga camp hapo sawa. First class intelligence ndiyo uchumi mzee siyo kila saa unawaza mashababi tuu.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Duh! Halafu haya mapicha yanaruhusiwa kupigwa na kuachiwa kihivi....
Poa waweke madubwasha ya kisasa hayo maeneo ili mashababi yawe yanaonekana kwa mbali kabla kufika.
Yaani wakenya ni tegemezi sana!
 
Mkuu kama unawaona hao jamaa wajinga kujenga camp hapo sawa. First class intelligence ndiyo uchumi mzee siyo kila saa unawaza mashababi tuu.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Kuna aina ya intelligence sio level yetu Waafrika, hapo Bongo gesi inaliwa na mabeberu hata rais mwenyewe alisema, sasa nyie mnailinda vipi. Bora hata wa kuweka kambi kuliko wa kuja na kuzoa raslimali mchana peupe na hadi rais hana uwezo naye.
 
Hatuhitaji first class ntelligence maana hiyo ni level ya uhasama baina ya first world kama akina Russia vs USA, sisi tunahitaji uwezo wa kuwatishia nyie nyau wenzetu. Najua nini kinachowauma ndio maana mnatokwa mipovu na kudai mara ukoloni, mara uzalendo..pumba tupu.

Cowards mind.2.
 
Kuna aina ya intelligence sio level yetu Waafrika, hapo Bongo gesi inaliwa na mabeberu hata rais mwenyewe alisema, sasa nyie mnailinda vipi. Bora hata wa kuweka kambi kuliko wa kuja na kuzoa raslimali mchana peupe na hadi rais hana uwezo naye.
hehe aisee! mabeberu tumeyashika pabayaaa!
 
Mjiandae majirani.. Wanasema it's disastrous to be American friend… hapo mshaingia kwenye radar za walipa visasi wenye hasira na America msishangae milipuko kwenye rush hours.. Malls..kwa treni Etc etc (Mungu aepushie mbali)
Hatutaki kuona hizi takataka nyeupe zinarudi huku Africa. Tuliwafukuza mara moja na wabaki huko kwao. These are war-mongers, all they know is to fight. Hawajui kusaidia nchi masikini kujenga barabara ama railway kama ambavyo China wanafanya. Chinese wamesaidia Kenya sana kwa kujenga infrastructure. Lakini these white f*ckers all they know is to bring war wherever they go. Any country they touch inakufa kifo cha mende. Angalia Libya saa hii vile inafanana. Angalia Yemen inapigwa bomb na Saudi Arabia kutumia bomb made in the U.S.A. Afghanistan wako vitani kwa miaka kumi na nane (since 2001). The middle east is a shit-hole right now because of these people. Waafrika tuwe makini, tusiwe tunakubali kila uchafu unaotoka kwa hawa majitu. Walianza kwa kutuletea bibilia takatifu, tukaishia kuwa watumwa katika nchi yetu. Jomo Kenyatta alisema "mzungu alikuja Africa akiwa na bibilia takatifu mkononi na akapata mwafrika akiwa anamiliki shamba. Mzungu akaambia mwafrika afunge macho ili waombe Mungu, maombi yalipoisha mwafrika akafungua macho. Mwafrika alishangaa kuona mzungu anamiliki shamba na mwafrika mwenyewe anamiliki bibilia takatifu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjiandae majirani.. Wanasema it's disastrous to be American friend… hapo mshaingia kwenye radar za walipa visasi wenye hasira na America msishangae milipuko kwenye rush hours.. Malls..kwa treni Etc etc (Mungu aepushie mbali)

Sent using Jamii Forums mobile app
FACT kiufupi ni kuwa kama usa ataingia vitani na china,urusi,burundi au china kenya lazima iwe kwenye target za mahasimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom