Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

hakuna kombora litakalotua tz,uganda na kwingineko ambapo hapatajihusisha na vita labda hilo kombora likosee njia

Sent using Jamii Forums mobile app

Nenda katafute kitabu cha Nevil Shute kinachoitwa ‘On the beach’, utapata kuelewa jinsi wewe Mswahili yatakukuta kama ikitokea Marekani na Urusi wameamua kutupiana makombora ya kumalizana kabisa.
Kwa kifupi Northern Hemisphere wakimalizana kwa nyuklia, Southern Hemisphere hatasazwa mtu.
 
kwani huyo jamaa ni nabii?

vita ya usa na urusi itapiganiwa asia,ulaya na amerika

na baadhi ya maeneo ya africa ya base za hao mahasimu mfano kenya,gabon na kwingineko

nyie subirin eskander missile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani huyo jamaa ni nabii?

vita ya usa na urusi itapiganiwa asia,ulaya na amerika

na baadhi ya maeneo ya africa ya base za hao mahasimu mfano kenya,gabon na kwingineko

nyie subirin eskander missile

Sent using Jamii Forums mobile app

Niljua najadili na mtu mwenye uelewa na kwamba utachukua muda kutafiti na kutafakari nilichokisema hapo juu, jinsi umekimbilia kujibu ni wazi unayo kasoro. Vita vya kumalizana baina ya hao wakuu havitamuacha yeyote salama.....the world will never be the same again, iwe ulipigwa kombora au vinginevyo.
 
Ndio mjue waafrika wenzenu wanavyowaona mazezeta,huyo unayemquote wala si Mtz kwa taarifa yako,na anakupa fact tupu jinsi mlivyo mazwazwa!
 
Ndio mjue waafrika wenzenu wanavyowaona mazezeta,huyo unayemquote wala si Mtz kwa taarifa yako,na anakupa fact tupu jinsi mlivyo mazwazwa!

So kwa yeye kutokua Mtz ndio inakubabaisha na kumuona kama anayejua kukuzidi.
Halafu Waafrika wagani wanatuona mazwazwa, hivi unajua presence ya US military Africa ipo kwenye nchi nyingi ndani ya bara hili, sio Kenya tu.
Ni kwamba hawajawachagua nyie kuwekeza chochote cha maana kijeshi, na nahisi ndicho kinachowauma na kuishia na kauli za sizitaki mbichi.
 
Yan tuchukie kutusogezea vita za kigaidi nchini kwetu,vita ambavyo hata wao wenyewe vinawapa changamoto nyingi sana,km kutrain wanakuja sana kutrain na tpdf but khs kuweka military base yao hapa kwetu hatutakihttps://youtu.be/SRQt-QG3sB0
 
Hamtaki mkiwa na nani, wewe huna uwezo wa kutaka au kutokutaka, ubavu huo hamuna nawo, la mabwabwa wameelekeza tu kidole hadi mawaziri wenu wakakanyagana kila mmoja anawahi kuongea na media ili kukana Tanzania haina vita dhidi ya mabwabwa.
Kwa kifupi nchi yenu inategemea sana misaada ya hawa, hamuna jeuri ya kukataa chochote muda wautakao.
 
nan kati ya hao usa na urusi mwenye kombora la kumaliza ulimwengu?

endapo watapigana hao wawili basi ni mmoja wao atapigwa mapigo matakatifu kwa huaraka zaidi ili asijibu mapigo na ili hilo lifanikiwe lazima nyambizi na base zao ziwe targeted kwa wakati mmoja

na mpaka sasa mwenye makombora hatari zaidi ni urusi ambaye nyie mna base ya hasimu wake hivyo basi kama wataamua kumuangamiza usa na kenya lzm iwe kwenye shabaha yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan tuchukie kutusogezea vita za kigaidi nchini kwetu,vita ambavyo hata wao wenyewe vinawapa changamoto nyingi sana,km kutrain wanakuja sana kutrain na tpdf but khs kuweka military base yao hapa kwetu hatutakihttps://youtu.be/SRQt-QG3sB0
usa waliwai kutaka kuweka base tz
oman pia waliomba eneo la kuweka base

tz nadhan huwa wanakataa kuweka base ili kuepusha migogoro na wahisani wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasome kuhusu maelewano ya baina ya USA na Urusi yanayoitwa mutual assured destruction (MAD)
 
Kasome kuhusu maelewano ya baina ya USA na Urusi yanayoitwa mutual assured destruction (MAD)
kama walikubariana kutokuunda makombora ya masafa marefu lkn leo wanayo bado tu anaamini hyo mikataba?

Nato now day to day wanamsogelea urusi bado tu unaamini mikataba?

vip mkataba wa usa na iran kuhusu nuke?

unakitazamaje kitendo cha urusi kupeleka TU-160 Venazuela?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nina matatizo na uelewa wako maana hufuatilii ninachokisema, haufanyi utafiti wala nini, MAD sio makubaliano ya kutokuunda silaha za nyuklia, ni maelewano ya kwamba wasiingie kwenye vita baina yao maana hapatakua na mshindi, kila kitu kitasambaratika, leo hii kila mmoja yupo na silaha za maangamizi makubwa na zimeelekezwa upande wa mwenzie.
Yaani Marekani akiachia makombora ya nyuklia dhidi ya Urusi, japo Mrusi atapigwa na kuisha, lakini huyo Mrusi ametegeshea makombora yake kwenda Marekani, hivyo kabla makombora ya Marekani kutua Urusi, atakua amepata fursa ya kujibu ili makombora yapishane angani, ndio hicho hicho Marekani naye ana makombora ametegeshea dhidi ya Mrusi kama njia ya kujibu kabla hajapigwa.
Hii huwa hatari maana hadi sasa kuna mara kadhaa nusra waingie kwenye vita vya maangamizi pale radar zao zilisoma kwamba wanashambuliwa na mabomu ya nyuklia ilhali ilikua false alarm, na wakawa tayari kuachia zao. Soma hapa 9 times the world was at the brink of nuclear war — and pulled back
 
Kufanya hivyo unahutaji helicopter angalau Tatu kuangusha wanajeshi.... Hakuna black hawks hapo Lamu.

Tena isitoshe USA iko na Kambi ndani ya Somalia na kazi yake no hio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…