Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

Up
duh wewe ni luten au brigedia ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi hupenda city vya kijeshi na hua nafwatilia Sana maendeleo tofauti ya zana za kivita, mara nyingi najikuta Kwa forum tofauti tofauti nikijadiliana kuhusu Vita tofauti na ... Pia kuna wanajeshi kadhaa ninaowajua kutoka wakati flani nilikua naishi nao karibu na Kambi ya kijeshi Hadi wa Leo wakifika Nairobi lazima wanipigie tuzunguke Nairobi nzima tukijivinjari...

Anyway, kuna Kambi ya Marekani kule Somalia iko eneo la baladogle, inajengwa runway ambayo inaweza kupokea ndege ya Aina yoyote, hio Kambi ndo Marekani hutumia kama staging ground ya mashambulizi ya Yao huko Somalia...alafu Kambi ya Bastion kule Dgibouti ndo drone base

New in 2019: Two new US air bases in Africa nearing completion
 
Nenda katafute kitabu cha Nevil Shute kinachoitwa ‘On the beach’, utapata kuelewa jinsi wewe Mswahili yatakukuta kama ikitokea Marekani na Urusi wameamua kutupiana makombora ya kumalizana kabisa.
Kwa kifupi Northern Hemisphere wakimalizana kwa nyuklia, Southern Hemisphere hatasazwa mtu.
Hiko kitabu cha "on the beach" kimeandikwa na mtu kama wewe kwanini umetokea kukiamini sana! Una ki refer kama kimeandikwa na Mungu. Tukiwa wadogo tuliambizana nyuklia ikipigwa dunia nzima tuna kufa [emoji23], kipindi Saddam anazinguana na U.S

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Up

Mi hupenda city vya kijeshi na hua nafwatilia Sana maendeleo tofauti ya zana za kivita, mara nyingi najikuta Kwa forum tofauti tofauti nikijadiliana kuhusu Vita tofauti na ... Pia kuna wanajeshi kadhaa ninaowajua kutoka wakati flani nilikua naishi nao karibu na Kambi ya kijeshi Hadi wa Leo wakifika Nairobi lazima wanipigie tuzunguke Nairobi nzima tukijivinjari...

Anyway, kuna Kambi ya Marekani kule Somalia iko eneo la baladogle, inajengwa runway ambayo inaweza kupokea ndege ya Aina yoyote, hio Kambi ndo Marekani hutumia kama staging ground ya mashambulizi ya Yao huko Somalia...alafu Kambi ya Bastion kule Dgibouti ndo drone base

New in 2019: Two new US air bases in Africa nearing completion
sasa hyo ya hapo kenya wanaitumia kama base ya nini hasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiko kitabu cha "on the beach" kimeandikwa na mtu kama wewe kwanini umetokea kukiamini sana! Una ki refer kama kimeandikwa na Mungu. Tukiwa wadogo tuliambizana nyuklia ikipigwa dunia nzima tuna kufa [emoji23], kipindi Saddam anazinguana na U.S

Sent using Jamii Forums mobile app
nakumbuka kipindi hicho nilikuwa na miaka sita ndio nilidhan nuke inauwezo wa kusambua ulimwengu wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wrong Move! Kenya mtajuta hao Jamaa ni km Cancer hawataondoka kamwe unless watake wenyewe! Angalieni Japan wananchi wameshaandama kua Japan iwafukuze lakini Wamekataa wanabaka Wajapan,Madege yao yanaleta kelele na Bado watawasababishia maelewano hafifu na Nchi Jirani....Lengo apo ni Ku contain EAC na baadae was extract mines and Oil in Somalia while wakidhibiti Mafuta ya Kenya,UG na Gas from TZ....Kenya Once again mmeuzwa na Capitalist wenu Freedom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii yote Americans wanafanya hivi kujikinga na wala milungi (Somalians). Nduguze FaizaFoxy hawana akili timamu, wako tayari kujiua na wasijuwe wanajiulia juu ya nini.
 
Hakuna vile unaweza uza a capitalist nation. Capitalism is all about 'help me i help you' to attain a win win situation in business, Huwezi tarajia US/UK/Kenya wafanye biashara na wewe bila kupata faida flani, capitalist always come first. Ukiangalia adui wakubwa wa Amerika utagundua ni inchi ambazo ziko na 'Common aspects' zinaunga mkono zifwatazo kwa ukubwa.
*Socialism(Ujamaa)
*Islamism
*Dictatorship
*Lack of Diversity.
-America hates countries of such policies na Tanzania ni miongoni mwa inchi hizo. Ukiangalia Somalia vizuri utagundua kuwa ni Islamic state with a single distinct community with a dictatorial agenda. Kenya on the other side is a fully established Capitalist, Democratic and Socially diversed nation, utangoja sana kutarajia amerika kuvamia Kenya,Israel,UK, Brasil ama France kwasababu hizi ni inchi ambazo ni allies na hufanya kazi pamoja kupitia Capitalism.
Wrong Move! Kenya mtajuta hao Jamaa ni km Cancer hawataondoka kamwe unless watake wenyewe! Angalieni Japan wananchi wameshaandama kua Japan iwafukuze lakini Wamekataa wanabaka Wajapan,Madege yao yanaleta kelele na Bado watawasababishia maelewano hafifu na Nchi Jirani....Lengo apo ni Ku contain EAC na baadae was extract mines and Oil in Somalia while wakidhibiti Mafuta ya Kenya,UG na Gas from TZ....Kenya Once again mmeuzwa na Capitalist wenu Freedom

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio kitu ya kusherehekea. Hii ni ukoloni mambo leo. Marekani ni mashetani wakubwa sana katika hii dunia. Hapo Uhuru Kenyatta ametuangusha sana. Mbona anakubali hizi majitu kuleta uchafu yao huku. Kila mahali wanapokwenda wanaleta vita. Angalia Iraq, Afghanistan, Syria, Vietnam na kadhalika. Nadhania hii ni backward step tumechukua kama nchi. We have been colonised once, let us not be colonised again.
Wakenya timamu mmebaki wachache sana

nakubaliana ba wewe.
lakini hawa wakoloni Wazungu hawatofautiani kwa lolote na wakoloni weusi tulio nao leo hapa Tanzania, Rwanda, Burundi, Uganda, Sudan (Khartoum), nk.

in fact, hawa weusi ni worse!
 
Wrong Move! Kenya mtajuta hao Jamaa ni km Cancer hawataondoka kamwe unless watake wenyewe! Angalieni Japan wananchi wameshaandama kua Japan iwafukuze lakini Wamekataa wanabaka Wajapan,Madege yao yanaleta kelele na Bado watawasababishia maelewano hafifu na Nchi Jirani....Lengo apo ni Ku contain EAC na baadae was extract mines and Oil in Somalia while wakidhibiti Mafuta ya Kenya,UG na Gas from TZ....Kenya Once again mmeuzwa na Capitalist wenu Freedom

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu umesema ukweli kabisaa yani Kenya wameiuza nchi yao napia wametuuza nasie majirani zao (manyang'au bana)
 
Back
Top Bottom