Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Mnavoongelea hizo risasi 38 utadhani n zote zimempata, ongelea risasi zilizompata na sio zilizopigwa.
 
Nasikia fahari sana nikiona mwanamke akiwa moja ya sehemu ya ulinzi
 
Mnavoongelea hizo risasi 38 utadhani n zote zimempata, ongelea risasi zilizompata na sio zilizopigwa.
sasa mkuu wingi wa mapigo haujui unatoa tafsiri gani..? hata hizo zilizompata 7 unafikiri zilimtaka zimponye..?? kaka hebu usijifungie kwenye dimbwi hilo la giza toka huko mtu akufate na kisu na akuchomechome hovyo useme hakuwa nadhamira yakukuua basi we utakuwa ni zwazwa sana!
 
Risasi imepigwa, watu wamebonyea chini. nchi ya asali ingekua mbioooo yaaani kimbi kimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…