Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Kumbe zile cartoon za Simpson zinatabiri kweli
111723717.png
 
dah! mkuu hivi unafikiri unachokiandika kweli lissu kamiminiwa risasi 38 akiwa ndani ya gari na akiwa amelala inamaana tayari alikuwa ameshatake cover na washambuliaji hawakushuka! risasi 38 ! na useme halikuwa tukio la mauwaji... unahabari kuna risasi moja imebaki mgongoni mwake maana ni too risk kuitoa kuliko kuiacha!.. kutoka na status ya lissu ikawa ni rahisi kwake kupatiwa matibabu ya hali ya juu na akasafilishwa chap!

trump apigwe sikio useme sio eneo sensitive hivi unahabari katika sehemu inayohitaji umakini kuilenga ni kichwa maana any time kichwa kina shake ndio maana wadunguaji wengi hulenga kifua maana unaweza kuhamisha movement ya kichwa ila kifua kitakuwa palepale!.. babu mbona hivi ni vitu vya kawaida sana kuvijua unakwama wapi! kumbuka pia zimechomoka risasi zaidi ya moja sijui hata kama unaelewa dhana ya udunguaji...😃
Mnavoongelea hizo risasi 38 utadhani n zote zimempata, ongelea risasi zilizompata na sio zilizopigwa.
 
13 July 2024
Butler, Pennsylvania
Marekani

MILIO IPATAYO TISA YA SILAHA YASIKIKA KATIKA MKUTANO WA TRUMP, AJERUHIWA SIKIO KWA RISASI KATIKA JARIBIO LA KUONDOKA UHAI WA MGOMBEA URAIS


View: https://m.youtube.com/watch?v=szm4fJLaQUU
Trump akikunja ngumi hewani baada ya shambulio lililotaka kuondoa uhai wake kushindwa, huku akibebwa mzobe mzobe na walinzi wake baada ya milio ya silaha ya moto kusikika katika mkutano huko Butler, Pennsylvania Marekani.

Umati ulipoona Trump akinyoosha ngumi angani kuwa amenusirika ukaimba wimbo wa kizalendo wa USA! USA! kuashiria umma uliohudhuria mkutano wapo naye bega kwa bega Trump

Shots are fired at former President Trump's campaign rally in Butler, Pennsylvania, and the former President is rushed off stage.


View: https://m.youtube.com/watch?v=XL3D0h5j0Lo

Mara baada ya milio kadhaa ya silaha ya moto kusikika, rais Trump alishika sikio lake kuashiria kitu kimempiga, walinzi wake haraka walimzingira na kumueka katika sakafu ya jukwaa kumlinda huku wakikagua hali ya jeraha lake pia kupanga mipango ya jinsi ya kutoka naye kwa usalama kutoka ktk jukwaa la mkutano alilokuwa amesima akihutubia huko Butler, Pennsylvania Marekani

View attachment 3041818
Msemaji wa Kikosi cha Usalama (Secret Service) alisema Bw. Trump alikuwa "salama." Msemaji wa kampeni ya Trump, Steven Cheung, alisema katika taarifa kwamba rais huyo wa zamani "anaendelea vizuri na anachunguzwa katika kituo cha matibabu cha eneo la karibu ."

View attachment 3041835

Nasikia fahari sana nikiona mwanamke akiwa moja ya sehemu ya ulinzi
 
Mnavoongelea hizo risasi 38 utadhani n zote zimempata, ongelea risasi zilizompata na sio zilizopigwa.
sasa mkuu wingi wa mapigo haujui unatoa tafsiri gani..? hata hizo zilizompata 7 unafikiri zilimtaka zimponye..?? kaka hebu usijifungie kwenye dimbwi hilo la giza toka huko mtu akufate na kisu na akuchomechome hovyo useme hakuwa nadhamira yakukuua basi we utakuwa ni zwazwa sana!
 
View attachment 3041816

View attachment 3041819


Trump, ambaye ni mgombea urais mtarajiwa kwa tikiti ya chama cha Republikan, alionekana akinyoosha mkono wa kulia kuelekea shingoni mwake kabla ya shambulizi hilo kutokea.

Kulionekana kuwa na damu usoni mwake, hususan karibu na sikio la upande wa kulia.

Trump tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais wa Marekani na hivi karibuni alifanya mdahalo na Rais wa sasa Joe Biden, mdahalo ambao Wachambuzi wengi wamesema haukwenda sawa kwa upande wa Biden kwakuwa alizidiwa uwezo wa kujieleza na kujibu maswali na Trump.
Risasi imepigwa, watu wamebonyea chini. nchi ya asali ingekua mbioooo yaaani kimbi kimbi
 
Back
Top Bottom