Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara


Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo.

Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa sikio la kulia baada ya milio ya risasi kadhaa kusikika mkutanoni

Bado haijajulika nani alifyatua risasi.


Update 1
Mashuhuda wanasema walisikia milio risasi kadhaa kutokea kwenye jengo pembeni na ulipokuwa ukutano na kisha kumuona Trump akianguka chini na kuzungukwa na walinzi kwa mtindo wa kuatamia.

Bado haijajulikana kuwa damu zinazotiririka kutoka usoni ni sababu ya risasi au kuanguka chini ameondolewa akiwa mzima huku akiinua mkono kusalimia na kuaga akiwa anavuja damu usoni

Update 2
Mtu mmoja amefariki baada ya kupigwa risasi zilizomkosa Trump.

Inadaiwa wadunguaji walikuwa wawili kutoka pande mbili tofauti na mmoja amekamatwa huku hali ya Trump ikiendelea kuimarika na amewashukuru walinzi kwa kazi nzuri.

Rais Joe Biden ametaarifiwa na kumtakia Trump apone haraka sana huku kukiwa na mwito kutoka maeneo mbalimbali wakimtaka azungumze na Taifa.



=====

Trump rushed off stage at Pennsylvania rally as shots heard​


Pennsylvania & London
Secret Service agents have rushed former President Donald Trump off stage after what sounded like gunshots rang out at a rally in Pennsylvania.

Footage showed him grimace and raise a hand to his right ear, before ducking as sharp cracks - apparently shots - broke out.
He was quickly swarmed by secret service agents and rushed off stage to a waiting vehicle. He raised a fist as he was bundled into the car.
In a statement Trump's campaign said he was "fine" and was being "checked out" at a local medical facility.

“President Trump thanks law enforcement and first responders for their quick action during this heinous act,” spokesman Steven Cheung said.

The former president appeared to have blood on his ear as protection officers led him away.
Law enforcement sources later told US media that the male suspect and an audience member were dead.

In a statement, the Secret Service said Trump was safe and that measures for his protection had been implemented.
They added that an active investigation was now under way and that further information would be released when available.

The Republican candidate for president had been addressing his supporters in Butler, Pennsylvania - a crucial swing state in November's election.

Multiple bangs rang out as Trump spoke about his successor, President Joe Biden, and his administration.

Several supporters holding placards and standing behind Trump ducked as the apparent shots were heard.
One witness - Greg - told the BBC that he had spotted a suspicious-looking person "bear crawling" on a roof about five minutes before Trump started speaking. He said he pointed the person out to police.
"He had a rifle, we could clearly see him with a rifle," he said. "We’re pointing at him, the police are down there running around on the ground – we’re like ‘hey man there’s a guy on the roof with a rifle’ and the police did not know what was going on."

Another witness, Jason, told the BBC that he heard five shots, which went off in quick succession.

“We see the Secret Service jump on Trump to protect him. Everyone in the crowd dropped down very quickly," he said.
“He shortly thereafter stood up and put his fist up in the air, said a couple of things."

Tim - who was also at the rally - told the BBC that he had heard a "barrage" of shots.

"There was a spray which we initially thought was a fire hose, and then the speaker on the right-hand side started coming down," he said.
"Something must have hit the hydraulic lines [which caused it to fall]. We saw President Trump go to the ground and everyone started dropping to the ground because it was chaos."

In a written statement, President Biden said he was "grateful to hear" that Trump was "safe and doing well".

"There’s no place for this kind of violence in America," he added. "We must unite as one nation to condemn it."
Politicians of both parties joined Mr Biden in condemning the apparent attack.

Former President Barack Obama said there "is absolutely no place for political violence in our democracy" and that he was "relieved that former President Trump wasn’t seriously hurt".

Trump's Vice-President Mike Pence said he and his wife were praying for his former ally, adding that he urged "every American to join us".
And House Minority Leader Hakeem Jeffries said in a statement: “My thoughts and prayers are with former President Trump. I am thankful for the decisive law enforcement response. America is a democracy. Political violence of any kind is never acceptable.”
This guy ana kwenda ku win uchaguzi.
 
Hao watu wamepigwa risasi maeneo gn ya mwili? Mtu amepigwa risasi za taco, mapajani, taya, sikioni unataka wafe wakat sio maeneo sensitive? Huyo Lissu angepigwa ya kichwan na angepona ndio nngesema lengo lilikuwa kuuawa
kama unaamini mtu anaweza nusurika basi risu na trump wamenusurika sikuzao zakufa hazijafika na hawakupangiwa kufa kifohicho.

elewa hivyo tuu kwakuanzia
 
samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
 
ulinzi mkali ni kuzuia kabla, i mean amewezaje kufika eneo hilo akiwa na siraha ya udunguaji
Siku zote mdunguaji hutafuta utulivu na na namna ya kutoonekana, pia huwa na taarifa za eneo la tukio, hali ya hewa, na some security details za target yake.
pia kabla trump hajainama yani ku take action ye mwenyewe zimepita risasi kadhaa mpaka iliyompata sikio na walinzi walikuwa hawajafika!.
Hapo ndiyo unapoleta utata kuwalaumu walinzi ukitaka washindane na kasi ya risasi
pia inasemekana kuna mtu aliwaambia kwenye hilo jengo alikuwepo mtu anasiraha na hawakutake action huoni kuna upungufu hapo!..
Hili nakuunga mkono, ingawa inawezekana walichukua hatua ndiyo maana mdunguaji aliuawa promptly. Inawezekana baada ya taarifa walishaanza kufanya scanning pia kumuweka standby sniper wao aliyem terminate yule sniper mwingine. Au ni kweli kuna uzembe.
totally kilichotokea ni bahati tu kwa trump kupona na sio kwamba ulinzi ulifanya kitu!,
Of course, Bahati ina sehemu yake kubwa katika hili
 
Trump kapigwa risasi ya sikio kwahy unataka afe wakat amepigwa sehemu ambayo sio sensitive?
Saliva kapigwa risasi ya taya kwahy unataka afe wakat amepigwa sehemu ambayo sio sensitive?

Haya tuje kwa huyo Lissu nambie amepigwa risasi wapi sehemu sensitive Kwamba angekufa wakati huo huo au ht hosp?
Kama kuna risasi ziliwapata hao watu kichwan au kifuani na wakapona ndio ntakuelewa, ila kama wamepigwa sikioni, taya, mapajani, takoni bc usije ku-reply ht hii comment yangu.
dah! mkuu hivi unafikiri unachokiandika kweli lissu kamiminiwa risasi 38 akiwa ndani ya gari na akiwa amelala inamaana tayari alikuwa ameshatake cover na washambuliaji hawakushuka! risasi 38 ! na useme halikuwa tukio la mauwaji... unahabari kuna risasi moja imebaki mgongoni mwake maana ni too risk kuitoa kuliko kuiacha!.. kutoka na status ya lissu ikawa ni rahisi kwake kupatiwa matibabu ya hali ya juu na akasafilishwa chap!

trump apigwe sikio useme sio eneo sensitive hivi unahabari katika sehemu inayohitaji umakini kuilenga ni kichwa maana any time kichwa kina shake ndio maana wadunguaji wengi hulenga kifua maana unaweza kuhamisha movement ya kichwa ila kifua kitakuwa palepale!.. babu mbona hivi ni vitu vya kawaida sana kuvijua unakwama wapi! kumbuka pia zimechomoka risasi zaidi ya moja sijui hata kama unaelewa dhana ya udunguaji...😃
 
Siku zote mdunguaji hutafuta utulivu na na namna ya kutoonekana, pia huwa na taarifa za eneo la tukio, hali ya hewa, na some security details za target yake.

Hapo ndiyo unapoleta utata kuwalaumu walinzi ukitaka washindane na kasi ya risasi

Hili nakuunga mkono, ingawa inawezekana walichukua hatua ndiyo maana mdunguaji aliuawa promptly. Inawezekana baada ya taarifa walishaanza kufanya scanning pia kumuweka standby sniper wao aliyem terminate yule sniper mwingine. Au ni kweli kuna uzembe.

Of course, Bahati ina sehemu yake kubwa katika hili
hoja yako ya mwisho imeshathibitisha nilichokiandika hivyo tu nikutakie siku njema mkuu...😀
 
naona watu wanasema mlengaji ana miaka 20 nahisi hakuwa na uzoefu sana na huenda wakati risasi inatoka ilimshinda ikashake aidha kutokana na kitete maana tukio alilokuwa analifanya sio lakuua mende ni kuua mtu mwenye status yake!.. nachoshangaa na aidha mpaka yeye anachoshangaa ni kwamba kawezaje kupita hadi kufanya hiyo action! .. hawa wapuuzi muda mwengine wanatumia psychology kuaminisha watu kuwa wanaulinzi makini ili uogope lkn ukute kuna tactics ukizifata unafanya jambo lako!.
Kweli kabisa mkuu uzoefu pia inaweza kuwa sababu
 
Back
Top Bottom