Marekani: Familia ya marehemu Valambhia yaifungulia kesi Serikali ya Tanzania. Dreamliner hatarini

Kuna siku mtashangaa mnapigwa pingu nchi nzima mtafute pa kwenda nchi hii imewekwa rehani mikoni mwa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
angalia hili bwege lililoleta mada,so what?kesi za kawaida tu hizi we mbweha unashangilia nini sasa?
HUJUI HATA HII MIHELA WE NDO UNALIPA
Maskini mungu wape akili hawa ngumbaru ,we unadaiwa hela kibao hapo watakulima,watapandisha we ndo unalipa nani mwengine,then kukija mambo kama haya unashangilia bwege wewe utalipa wewe,mwanao,kitukuu,vimada,michepuko yako na ya wazazi wako wote watalipa pumbavu kabisa na ndugu zako pia,
mijitu mingine ingekua uganda enzi za dada ushalimwa risasi za kichwa.
mkishakunywa bia zenu za buku mnasahau hata km ni serikali hii imepunguza bei karibia kila kitu
 
Mwanaume kamili lazima udaiwe

Ila hao wahindi safari hii wamechemka hawapati kitu,miaka 15 yote walikuwa wapi
 
Mabepari wameanza kufukua makaburi, silaha za Vita ya Kagera deni limedaiwa leo??? Mwaka huu tutaambiwa MV LIEMBA haikulipiwa gharama za manunuzi sio bure.
 
Unaharisha mdomoni badala ya tundu stahiki.
Lengo ni kuonyesha utawala mbovu wa CCM inavyotutia hasara Watanzania.
Sasa huelewi nini hapo go grow a brain you moron
 
Mungu wangu !!!!!!!!!!!!!!!! Drimu laina yetu !!!!!
 
Kesi imepitwa na wakati? Ha ha ha haaa...
Mbona ile sheria ya kuvunja mita 120+ kule kimara toka ilivyotungwa enzi za mkoloni haikupitwa na wakati?

TULIPE TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…