Marekani: Familia ya marehemu Valambhia yaifungulia kesi Serikali ya Tanzania. Dreamliner hatarini

Tutashuhudia mengi sana ndani ya utawala huu.
Ndugu soma uelewe hiyo kesi iliyotolewa hukumu mwaka 2001... enzi za Mkapa. Huenda kesi yenyewe iliibuka zama hata za mwinyi au nyerere.
Fedha ilitakiwa kulipwa miaka 17 ya nyuma ndio maana imepanda kutoka 55 mpaka 119

Tofauti kubwa ya utawala huu na hizo zilizotangulia ni kuongezeka kupashana habari na mambo ya uzushiuzushi
 
Lakini mku huwezi kuendelea au kujua matatizo uliyonayo bila kujilinganisha na wenzako
 
Tulishasema kuwa Lissu ni zaidi ya tumjuwavyo
ni mnafiki tu hana lolote...anapiga sana domo hana uhakika na anchokisema ushahidi Wa lowasa mwizi upo wapi na alikua anatuonyesha makarabrasha?!
 
Tatizo siasa za kijinga kesi ya tangu miaka ya 1980s Leo hii kuna nyumbu wanafurahia ili kumkoa JPM haahahaha utalipa wewe na vijukuu vyako...
 
Jamani mbona kesi tu kwetu Tanzania kila kukicha? Mbona majirani zetu Kenya, Ug au Rwanda za kwao hatuzisikii au wao hawana kabisa?
Haujafatilia tu ila hata wao wanadaiwa sana tu sema hawanaga ushabiki maandazi na wakijinga kama huu Wa kwetu ...kwamba dreamliner ikianguka wanashangilia hawanaga mambo kama haya..
 
naona utawala wa jiwe unageuka kuwa punching bag la kisheria.na hivi jamaa ni kichwa ngumu ktk masuala ya kisheria, zitaibuka kesi nyingi.
 
punguza jazba.
 
Ac
jamani tena???Laana ya kutwangwa risas kwa TUNDU LISSU[/QUOTE
Acha upumbavu si ajabu hata kesi ya Valyambia huijui ilianza lini na inahusu lini,Lissu kapigwa risasi lini na kesi ilianza lini ,si ajabu mnaitwa wavuka mto Mara
 
Lakini mku huwezi kuendelea au kujua matatizo uliyonayo bila kujilinganisha na wenzako
Ni kweli lakini Mimi huwa naamini sio vyema kujilinganisha na masikini kuna jinsi inapelekea kuendelea kuwa wazembe.Tuchague Taifa lenye maendeleo tukimbizane nalo kama role model wetu kila sio majirani,hawa majirani ni wa kufanya nao collabo kila sio kujilinganisha bado wana shida kama zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…