Marekani: Familia ya marehemu Valambhia yaifungulia kesi Serikali ya Tanzania. Dreamliner hatarini

Deni halifung tutawalpa mdogomdogo
 
Ww mama Tanzania unaijua?or unaandikaandika tu
 
Ila kuitete na kuipigia upato ccm inahitajika roho ngum,maana kila nikijarb kutetea nakumbuka mambo kadhaa nachoka kabsa
 
Kwahiyo kila tunapoagiza ndege na kuilipia, raia wa nchi hizo wanaotudai nao wanaenda kufufua makaburi ya madeni si ndio?
 
Na ni lazima kila kitu kiwe na expiry date, maana hawa wahindi wangeweza kuja kudai vilembwekeza vyetu mwaka 2090 kwa dani la 1990, huu ni ushenzi..!!
 
Dawa ya Deni ni kulipa.
 
Kwahiyo kila tunapoagiza ndege na kuilipia, raia wa nchi hizo wanaotudai nao wanaenda kufufua makaburi ya madeni si ndio?
Ndio, wewe unaanzaje kula kuku kila siku na wanao wakati nakudai pesa angu na wanangu wanakula mchicha tu. Lazima ulipe kwanza ndio uanze anasa zako.
 
Hilo lijamaa limejilaani lenyewe!
Usi mwingize mama Tanzania kwenye upuuzi walahi!
Magufuli hakuhusika kabisa kwenye manunuzi hayo jamani acheni chuki binafsi.Enzi hizo nadhani alikuwa "N"kapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…