mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kilichowashtua sana Marekani na NATO kwa ujumla ni kushambuliwa kwa mafanikio makubwa kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyopo karibu kabisa na mpaka wa Poland.
Hii kambi ilikuwa imewekewa ulinzi wote wa anga maana ilikuwa inatumika kupokelea silaha zinazoingizwa Ukraine toka nchi za magharibi. Na kipindi husika kulikuwa na shehena kubwa ya silaha zikiwa tayari kusafirishwa ili zikatumike.
Kambi hiyo pia ilikuwa inatumika kama chuo cha mafunzo ya kijeshi kwa kutumia wakufunzi wa Nato namnà ya kutumia hizo silaha wanazopewa na NATO.
Siku moja kabla ya shambulizi hilo Urusi ilitoa onyo kuwa misafara ya kupeleka silaha Ukraine tangu Sasa ni "legitimate war target"!
Onyo hilo lilisababisha wakufunzi wa Nato waondoke kwenye kambi hiyo vinginevyo wengi wangeuawa!
Marekani hatimaye wamegundua siri ya jeuri ya Mrusi kuwa makombora (missiles) yake yamefungiwa kifaa maaluma ya kuzizima rada ili yasionekane na hivyo kukwepa kudunguliwa na anti- missile systems!