Marekani hawana demokrasia ya kweli ; ofisa katolewa nje kama mbwa kisa kupinga vita dhidi ya Iran

Hii ☝️ni maajabu. Ngoja nilale sasa.
Mimi ndio Mafia zaidi ya Jasusi call me a Consigliere , jamaa nililiingiza kwenye mtego mpaka akafichua ID zake zote kwa hiari unadhani kawaida hiyo na alikuwa anapoenda tokea zamani ID zake zote zijulikane ? 🎯

ELI COHEN Jasusi wa kuokoteza levo zangu za Umafia hagusi hata chembe ana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kuchunguza mambo kijasusi
 
Qatar has given members of Iran’s embassy one week to leave the country, a source connected to the Iranian embassy in Doha told Iran International.

Some people linked to the embassy had planned to stay in Qatar temporarily, but hotels in the country have refused to accept them following instructions from the Qatari government, the source added.
 
Chini ya Trump, tangu lini kumekuwa na demokrasia na rule of law? Mazafaka ndiyo American emperor wa kwanza!
 
Iranian expatriates gathered in Stockholm on Saturday, March 7, celebrating the death of Iran's supreme leader Ali Khamenei and thanking the leaders of Israel and the United States for the airstrikes.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kobazi ameshiba iftar mchanganyiko wa tende viazi mviringo viazi mbatata viazi vitamu mixer uji wa mtama sasa mwili umechanganyikiwa vimehamia kichwani akili yote haimo tena.
Hapa ndio umechangia mada na uwezo wako wa kufikiri umefikia kikomo ?
 
Mimi kama jasusi mkuu goja nianze kufanya uchunguzi wangu ili kubaini jasusi bora atakayekuwa anakaribia levo zangu humu.
 
Kobaz Unawezaje kuendesha I'd zote hizo?
 
Ila jamaa nasomaga comment zako nacheka sana..
Unaweza kuona upo seriously ila badae ukisoma kiundani unakuta daaah shida tupu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unashambulia na IDs zako zote
 
Unashambulia na IDs zako zote
Kama Iran ukiwa kutokea Lebanon unapigwa na Hezbollah kutokea Gaza unapigwa na Hamas upande wa Yemeni nina Houth hapo bado Syria na Iraq .

Mimi Nina proxies wengi vita na Mimi zinakuja ID kama 100 zinarusha Ballistic Missile kwa wakati mmoja hapo Triple alliance ID zipo sub zinasubiri mualiko tu zianze kurusha Intercontinental Ballistic Missile
 
Ayatollah yupo anajilia mabikra 72 na anakunywa mito ya pombe
Wewe kobazi upo jamii forums unabishana
 
Democrasi bila ya uzalendo ni sawa na kinyesi kwenye siniha la dhahabu...
DEMOCRACY + UZALENDO =PAFECT
Huyo jamaa kapungukiwa uzalendo.
 
Demokrasia ya magharibi matajiri ndio wenye sauti na wengi ni Zionist ndo maana huwezi kupata urasi marekani kama utaenda kinyume na matajiri WA pro israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…