Marekani hawana demokrasia ya kweli ; ofisa katolewa nje kama mbwa kisa kupinga vita dhidi ya Iran

Marekani hawana demokrasia ya kweli ; ofisa katolewa nje kama mbwa kisa kupinga vita dhidi ya Iran

Hii ☝️ni maajabu. Ngoja nilale sasa.
Mimi ndio Mafia zaidi ya Jasusi call me a Consigliere , jamaa nililiingiza kwenye mtego mpaka akafichua ID zake zote kwa hiari unadhani kawaida hiyo na alikuwa anapoenda tokea zamani ID zake zote zijulikane ? 🎯

ELI COHEN Jasusi wa kuokoteza levo zangu za Umafia hagusi hata chembe ana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kuchunguza mambo kijasusi
 
Qatar has given members of Iran’s embassy one week to leave the country, a source connected to the Iranian embassy in Doha told Iran International.

Some people linked to the embassy had planned to stay in Qatar temporarily, but hotels in the country have refused to accept them following instructions from the Qatari government, the source added.
 
Mzuka wana jamvi .

Nimeshangaa Marekani inayosifika kwa demokrasia na uhuru wa maoni Jana nimeona clip ya ofisa mstaafubwa jeshi akitolewa kwa nguvu kama takataka kisa kupinga Marekani kutumia na Israel kuingia vitani kipuuzi.

Jamaa alivyoanza kupiga spana tu polisi walimtoa nje kwa nguvu kubwa , inasikitisha sana hii haliView attachment 3554493

View attachment 3554495
Chini ya Trump, tangu lini kumekuwa na demokrasia na rule of law? Mazafaka ndiyo American emperor wa kwanza!
 
Iranian expatriates gathered in Stockholm on Saturday, March 7, celebrating the death of Iran's supreme leader Ali Khamenei and thanking the leaders of Israel and the United States for the airstrikes.
 
😂😂😂 Kobazi ameshiba iftar mchanganyiko wa tende viazi mviringo viazi mbatata viazi vitamu mixer uji wa mtama sasa mwili umechanganyikiwa vimehamia kichwani akili yote haimo tena.
Hapa ndio umechangia mada na uwezo wako wa kufikiri umefikia kikomo ?
 
Mimi ndio Mafia zaidi ya Jasusi call me a Consigliere , jamaa nililiingiza kwenye mtego mpaka akafichua ID zake zote kwa hiari unadhani kawaida hiyo na alikuwa anapoenda tokea zamani ID zake zote zijulikane ? 🎯

ELI COHEN Jasusi wa kuokoteza levo zangu za Umafia hagusi hata chembe ana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kuchunguza mambo kijasusi
Mimi kama jasusi mkuu goja nianze kufanya uchunguzi wangu ili kubaini jasusi bora atakayekuwa anakaribia levo zangu humu.
 
Wewe jamaa ubongo wako una uwezo mdogo sana wa kuchakata , kuchambua data na kufanya hitimisho sahihi halafu unajiita Jasusi , sasa Jasusi gani hata vitu vidogo vinakushinda kufanya prediction na kuAnticipate properly ?

Kipindi Cha nyuma uliwahi kunituhumu kuwa akaunti za Mafwele , Ghayo , busu la Kenge ni zangu . Sasa nakupa ushahidi huu kuwa Mimi sihusiki na hizo akaunti na mwenye akaunti kaweka wazi akaunti zake zote hizo kupitia gugo .

Hapo nionyeshe Adriz ipo wapi ? secretarybird jamaa wako kama Jasusi labda Jasusi wa punyetoh akiwa na vijana wakina Mbaga Jr

View attachment 3554511
Kobaz Unawezaje kuendesha I'd zote hizo?
 
ndugu zangu secretarybird ngara23 Seran The Worst na Mbaga Jr inashangaza sana ni namna gani akili ya mtu ilivyokuwa ni a mystery,.

Na zaid haswa kwa huyu kijana adriz ambaye ana uwez mkubwa wa kubadirika badirika kuwa mtu tofauti katika kila akaunti, kama hii ni yake, saa nane usiku atakuja na nyingine.

Kuna akaunti atajifanya mkristu, nyingine myahudi, nyingine demu, nyingine mwalimu wa saikolojia, kobaz, nyingine anakuwa kama kichaaa

Natumaini dosho12 na Infropreneur mlishawahi kuona ile muvi ya SPLIT, basi yule jamaa ana ugonjwa kama huu wa adriz wa kubadirika badirika personallity bila yeye kujijua.

Kuna wakati nilidhania watu kama Chizi Maarifa na Poor Brain ni luzi kumbe ni watu wa masihara ila wako smart ila huyu dogo adriz hana masihara ni mgonjwa.

Dr am 4 real PhD na mzee wangu Mshana Jr counselling na tiba itamfaa huyu kijana kama mtakuwa willing kumsaidia
View attachment 3554503
Ila jamaa nasomaga comment zako nacheka sana..
Unaweza kuona upo seriously ila badae ukisoma kiundani unakuta daaah shida tupu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wewe jamaa ubongo wako una uwezo mdogo sana wa kuchakata , kuchambua data na kufanya hitimisho sahihi halafu unajiita Jasusi , sasa Jasusi gani hata vitu vidogo vinakushinda kufanya prediction na kuAnticipate properly ?

Kipindi Cha nyuma uliwahi kunituhumu kuwa akaunti za Mafwele , Ghayo , busu la Kenge ni zangu . Sasa nakupa ushahidi huu kuwa Mimi sihusiki na hizo akaunti na mwenye akaunti kaweka wazi akaunti zake zote hizo kupitia gugo .

Hapo nionyeshe Adriz ipo wapi ? secretarybird jamaa wako kama Jasusi labda Jasusi wa punyetoh akiwa na vijana wakina Mbaga Jr

View attachment 3554511
Unashambulia na IDs zako zote
 
Unashambulia na IDs zako zote
Kama Iran ukiwa kutokea Lebanon unapigwa na Hezbollah kutokea Gaza unapigwa na Hamas upande wa Yemeni nina Houth hapo bado Syria na Iraq .

Mimi Nina proxies wengi vita na Mimi zinakuja ID kama 100 zinarusha Ballistic Missile kwa wakati mmoja hapo Triple alliance ID zipo sub zinasubiri mualiko tu zianze kurusha Intercontinental Ballistic Missile
 
Ayatollah yupo anajilia mabikra 72 na anakunywa mito ya pombe
Wewe kobazi upo jamii forums unabishana
 
Mzuka wana jamvi .

Nimeshangaa Marekani inayosifika kwa demokrasia na uhuru wa maoni Jana nimeona clip ya ofisa mstaafubwa jeshi akitolewa kwa nguvu kama takataka kisa kupinga Marekani kutumia na Israel kuingia vitani kipuuzi.

Jamaa alivyoanza kupiga spana tu polisi walimtoa nje kwa nguvu kubwa , inasikitisha sana hii haliView attachment 3554493

View attachment 3554495
Democrasi bila ya uzalendo ni sawa na kinyesi kwenye siniha la dhahabu...
DEMOCRACY + UZALENDO =PAFECT
Huyo jamaa kapungukiwa uzalendo.
 
Demokrasia ya magharibi matajiri ndio wenye sauti na wengi ni Zionist ndo maana huwezi kupata urasi marekani kama utaenda kinyume na matajiri WA pro israel
 
Back
Top Bottom