Marekani imedhamiria kuitoa Huawei sokoni, imeituhumu kuwa ni tawi la jeshi la China

Hapa ndipo lilipo kaburi la Huawei
Screenshot_20200626-093649.jpg
Screenshot_20200626-093710.jpg
 
Dah,. Mkuu biashara ya simu ni sehem ndogo tu ya mapato ya huawei, na tsmc ya taiwan imesema itaendelea kutengeneza chip kwa ajili ya huawei
Umesoma vizuri hayo maelezo,hizo chips za simu, computer na mitambo ya 5G atazipata wapi?. Pia unajua Taiwan ana uhusiano gani na Marekani mpaka akubali kurisk huo uhusiano eti kwa sababu ya Huawei.
 
HUAWEI Haiwezi kufa kwasababu zakipuuzi kama hizi muache mkubwa aruke ruke tu soon ataachia...[emoji12][emoji14][emoji12]

US ilikua zamani kama kijitaifa kidogo tu kama IRAN anaweza kusurvive mbele yavikwazo vyake seuze UCHINA

Akubali tu kaishachelewa mfamaji[emoji12][emoji14][emoji12]
 
Hii ni Sauti ya Radio Tehran
 
Hii ni Sauti ya Radio Tehran
Nyie hangaikeni tu siku mkiliona anguko la HUAWEI kama ntakua sijafa mtanitag

Ila nikukumbushe tu wamekuja na hizi tuhuma baada ya wale WACANADA wawili kukamatwa kule UCHINA wanahofia wasije wakapigwa kitanzi kwatuhuma za ujasusi

UCHINA anamchezesha US ngoma moja tamu sanaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Teh teh teh kwani wao hawana Bosi wa Huawei wanaemshikilia?
 
Nyie hangaikeni tu siku mkiliona anguko la HUAWEI kama ntakua sijafa mtanitag

Ila nikukumbushe tu wamekuja na hizi tuhuma baada ya wale WACANADA wawili kukamatwa kule UCHINA wanahofia wasije wakapigwa kitanzi kwatuhuma za ujasusi

UCHINA anamchezesha US ngoma moja tamu sanaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi ile ZTE ipo wapi siki hizi?
 
Hiyo ni habari ya lini?embu soma hiyo tarehe na Mwaka wa hiyo habari yako. Umeambiwa full ban ya sanctions inaanza September.
Hivi mkuu unasoma article na kuelewa yote, au unatoa kipengele cha kujustify hoja zako,
Kwenye article yako ya BBC hakuna sehem ARM imetokea, sababu ni pure UK based. Na hapo ishu ni zile amvaxo kwenye operations zao wanahusisha US take
ARM design kwa huawei haiusishi US take
 
Back
Top Bottom