Marekani imedhamiria kuitoa Huawei sokoni, imeituhumu kuwa ni tawi la jeshi la China

Mwezi uliopita huawei imeipiku samsung kama ndio no 1 largest smartphone maker in the world,ila unasahau kwamba huawei ana patent nyingi mno kwenye 5G tech na ndiye anayeongoza.
basi kama huu ndio ukweli. .. USA na washirika wake watakuwa wanajitekenya na kucheka wao wenyewe
 
😃😃hatari
 
Kwan NOKIA ilikufa kwafigisu ?!

TECHNO imekufa ama inakufa kakwambia nani ?!


Mnaota ama mnaumwa ?![emoji23][emoji23][emoji23]
Soma elewa, kusema kuwa kama techno namanisha cheapest, itaanza kubaki Huawei's za third world country
 
Soma elewa, kusema kuwa kama techno namanisha cheapest, itaanza kubaki Huawei's za third world country
Shida sikua mie MKUU shida ilikua kwako muandikaji sababu hukufafanua ila hatahapa pia ulipofafanua nahisi ukiachana namimi kutokukuelewa nahisi pia kuna wengne hawajakuelewa pia MKUU hem fafanua vyema asee tuende sawa

Licha yayote hapa tunaelekezana tu MKUU ila pia kama nlikukwaza sehemu nakama ntakukwaza huko mbeleni amini sijadhamiria hivyo tusameheane tu utakapohisi nimekukwaza ama nimekujibu vibaya.....
 
China kwa USA ni sawa na mimba kubwa ukiitoa unaenda nayo. China ilipofika kiuchumi hamna wa kumshusha asishuke nae. Mtengenezaji na mnunuaji mkubwa wa simu kwa sasa duniani ni mchina hivyo ndo mteja mkubwa wa tech za Marekani so unapomuwekea vikwazo mteja wako mkubwa unategemea nini? Hizo chip uwauzie wafugaji huko monduli?
 
Acha unaa wewe. Magufuli na CCM hawaja wandindia Waamerika, Rais Magufuli amedai zu kuwa kama makampuni ya nje wakija kuchukua rasilimali zetu basi na sisi tufaidike. Kwani kudai haki yako ndiyo ni shida? Mbona unakuwa mfu namna hiyo? Yaani tuwaogope mabeberu kwa kudai haki ya mali zetu kwa ajili ya ngano yao? Aisee inasikitisha sana.
 
Halafu ukute umeandika hizi hate messages kwa kutumia tecno mobile [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji115]
Hio simu sijawah hata iweka kiganjan kwangu licha ya matumiz, hapa lazima tufikie hatua tukubali kiranja aheshimiwe, kale ka usemi kasemao marekan akikohoa ulimwengu mzima unapata mafua lazima kakubalike, wewe Huawei matumiz yake yanakuaje wakat 90% ya comp zake sio za china, saasa hiiv cmu ununue haina Google, haina playstore, haina wifi, hata chip tuu hana tech...tangu kaka mkubwa amepiga mkwara ni miez mingap leo? Nipe tu just a single step ambayo wamepiga hao macho ndogo
 
Hii reli inachangia sh. Ngapi kwenye pato la taifa.
 
"Vita vya kiuchumi ni vibaya kuliko vita vingine." - in magu's voice
 
Hii reli inachangia sh. Ngapi kwenye pato la taifa.
Nyie simlitaka kujengewa kuchangia ama kutokuchangia is up to Ninyi wenyewe...


Mlitaka wawajengee halaf pia wawagawie napato lataifa wao !?.....
 
Hii reli inachangia sh. Ngapi kwenye pato la taifa.
siwezi endelea kubishana na ww nimeshakuona wewe ni mpinzani wamaendeleo. Maana ulivyocomment umeona kama walijenga walikua hawajielewe Nini wa nafanya
 
Hii reli inachangia sh. Ngapi kwenye pato la taifa.
hafu tatizo hoja zenu zinatoka mdomoni ila sio kichwani. Yaani mnaongozwa na mdomo unapepeteka bila kujua unauliza nn?
 

Tofautisha kutii masharti ya vikwazo na kumiliki patent na kno-how. Hayo uyasemayo wewe ni siasa tu za chadema na ccm, mwenzio anaongelea ujuzi na umiliki wa technologia.

Usipolipia patent ya mwenzio hutaweza kuuza products zako maana wewe ni mwizi, yaani mchina anaweza tengeneza kupitia ujuzi wa mwingine lakini hatouza sokoni labda atumie na watu wake, ila hataweza pata huduma toka kwa partners wengine.

Yaani wakimuamulia kwa mfano wa smartphone atabakia na smartphone ambayo huwezitumia facebook, twitter, google, whatsapp n.k kwa sababu hakuna mtu atafanya biashara na mwizi. Sasa watu wake wanaweza tumia social media kama weiboo...ila sasa mimi na wewe wa ulimwengu wa tatu hiyo smartphone itakuwa kama mkebe au game toy kwa watoto
 
Nahili lakumuamulia ndio suala ambalo haliwezekaniki sasa mkuu sababu wangekua waamuaji wangeisha amua

Tatizo lavita yakiuchumi nikwamba watu wanategemeana kunamambo US kama atamfanyia UCHINA atauumiza UCHUMI wa UCHINA kweli nawakati huo huo atakua anahangaika pia kuumiza na UCHUMI wake nikwamba vikwazo wanavyoviweka vina kiasi havifikii nahavitafika huko unaposema kwasababu yapande zote mbili.....
 

Mazee umetisha!! Bila uwepo wa wana magharibi yeyote yule nakuapia kuwa tutatoboa na huenda dunia ikabakia kuwa sayari salama zaidi.

Kabla ya wazungu kusambaa na utamaduni wao, kila kona ya dunia watu waliishi...kumbuka mazingira ndiyo humdefine mtu awaje na akabiliane nayo, wakati mwingine institutions (sheria, ujuzi na mengineyo) zinakwamisha wengine kwa maslahi ya wachache
 
Aman tu apa, mengine tuwachie wenyewe
 

Mkuu too late too little
Huawei is here tyo stay
Just look:-
wao wapo Busy na 5G kuuza, marekani yuko busy anafanya research ya 5G.
China yuko lab anamalizia research ya 6G.
Hivi unampotezaje huyu ?
 
Mkuu too late too little
Huawei is here tyo stay
Just look:-
wao wapo Busy na 5G kuuza, marekani yuko busy anafanya research ya 5G.
China yuko lab anamalizia research ya 6G.
Hivi unampotezaje huyu ?
Ni rahisi tu. Subiri utaona majibu yake.

Huawei wenyewe wanajua nini kinaenda kuwakuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…