chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Ni hatari san
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIo ndogoChina teknolojia ndogo,maneno tu na ujanja mwingi
[emoji851][emoji851]Kabisa mkuu hawa wahuni wameshituka pamekucha!
Mmarekani unayemsema huyu ambae ana makampuni haya ambayo maisha yako yote unatumia bidhaaa zake kamaUSA wako overrated kwa maoni yangu hivi sasa. Technology imekuwa sana na mataifa mengi yanaweza kuishi bila kutegemea USA. Tatizo kubwa walimweka Trump kufikiri kwamba dunia ni ile ile ya zamani. Angalia mataifa yanayopiga hatua hivi sasa yako mengi tu na hakuna taifa linalopiga hatua ambalo halipingwi na USA na washiriki wake. Kuanzia the tigers group, India, Nigeria, Ethiopia, Tanzania, na Southern American Countries (Mexico, Brazil, Uruguay etc.)
USA na washiriki wake wanajidanganya, miaka 10 ijayo ulimwengu unarudi kutumia Gold kama exchange mechanism ya pesa kwenye mataifa kuondokana na ulaghai wa nchi za magharibi.
Ambayo ina Android..Halafu ukute umeandika hizi hate messages kwa kutumia tecno mobile 🤣 🤣 🤣 👆
Mbona USA wenyewe wanataka kuitoa kwenye entity list
Na pia bado inapokea royalties kutoka US coy's, hawezi kufa
Duu! mkuu pole Sana mpaka unafika hatua ya kumwabudu mwanadamu ''eti asingekua hai'' mbona tulikua hai tangu hapo bila ya hata hizo dawa za kisasa na hizo technology tunaisha kwa neema ya mungu sio kwa mamlaka ya mwanadamuMmarekani unayemsema huyu ambae ana makampuni haya ambayo maisha yako yote unatumia bidhaaa zake kama
Google, Android, IOS, coca cola, Vaccines (Chanjo za binadamu na mifugo), Wikipedia, Instagram, Snapchat, Facebook, ATM machines, visa na master card
Au Mmarekani gani ambae unayemsema Wewe. Nakuhakikishia bila huyo Mmarekani usingekuwa hai
Duu! mkuu pole Sana mpaka unafika hatua ya kumwabudu mwanadamu ''eti asingekua hai'' mbona tulikua hai tangu hapo bila ya hata hizo dawa za kisasa na hizo technology tunaisha kwa neema ya mungu sio kwa mamlaka ya mwanadamuMmarekani unayemsema huyu ambae ana makampuni haya ambayo maisha yako yote unatumia bidhaaa zake kama
Google, Android, IOS, coca cola, Vaccines (Chanjo za binadamu na mifugo), Wikipedia, Instagram, Snapchat, Facebook, ATM machines, visa na master card
Au Mmarekani gani ambae unayemsema Wewe. Nakuhakikishia bila huyo Mmarekani usingekuwa hai
Naona unakufuru kwani mmarekani ndiye ana provide oxygen.Mmarekani unayemsema huyu ambae ana makampuni haya ambayo maisha yako yote unatumia bidhaaa zake kama
Google, Android, IOS, coca cola, Vaccines (Chanjo za binadamu na mifugo), Wikipedia, Instagram, Snapchat, Facebook, ATM machines, visa na master card
Au Mmarekani gani ambae unayemsema Wewe. Nakuhakikishia bila huyo Mmarekani usingekuwa hai
hahahaha sikimfuata ndo nini mkuuJamani mm naona kampuni za kichina sikimfuata Huawei waka share hizo technology android lazima ifulie kwa sababu China mpaka Sasa ndo ina makampuni mengi makubwa ya simu kuliko nchi nyingine
Mkuu bora umenisaidia, alafu waangile ni nani buyers wakubwa hizo chip kwenye world market, pia hawajui hawa tech coy zinachangia kiadi gani kwenye US economyBaadhi JF ni wazushi sana na roho za ajabu - mnacho sahau Uchina na Amerika wanategemeana kiuchumi msipumbazwe na masuala ya siasa, China ikihamua kulipiza kisasi uchumi wa USA utayumba sana msije mkajidanganya hapa, kumbuka China ilipositisha kununua Soya kutoka China, Wachina wakawa wananunua Soya kutoka Brazil, sasa ni nini kilitokea mwisho wa siku? Wakulima wa huko USA wakapata hasara kubwa wakalazima kumwijia juu Trump mpaka akanywea, akajikuta analazimika kumbembeleza Ti Xing Ping a reverse uhamuzi wake wa kutonunua Soya zinazo toka/limwa USA,hilo la kwanza - la pili ni kuhusu tishio la USA eti itasitisha kuiuzia Uchina microprocessors na chipsets..zinazo tumika jwenye dimu za kiganjani! Trumo na genre lake wakivyo wajinga wakisshau jeamba asilimia 99 za mali ghafi ya ku-fabricate microchips zote ni rare earth metals zinazo patikana kwa wingi nchini China, China ikihamua kuiwekea pin USA viwanda vyote Silcone Valley Calfornia vitafungwa watu wakose ajila na kikubwa zaidi wanunuzi wakubwa wa semiconductors zinazo zalishwa nchini Merikani ni Wachina wenyewe - ukweli wa mambo ni kwamba USA na China wanategemeana sana kibiashara na kiuchumi - Trump and Pompeo skewed political rhetoric notwithstanding.
Kitu kingine,kumbukeni kwamba almost 80+ intellectual Properties za teknolojia ya 5G belongs to Chinese Huawei Company, halafu mambo ya kudai eti Wachina hawana weledi/taaluma ya ku-fabricate hitech microchips katika zama hizi kweli?Nani kawambieni Vyuo Vikuu vya China hawafundishi Solid State Physics, Very Large Scale Integrated Circuits(CMOSes and Bipolar)design and fabrication - eti Wachina hawana uwezo huo, mnarudia rudia propaganda na uzushi wa CNN,BBC,Reuters,Al Jazeela nk. Ninacho taka kusema hapa ni kwamba Mataifa haya mawili yanategemeana kwa mambo mengi sana kuliko watu wanavyo fikiria.
Wewe mpaka Una survive unatumia Android au IOS. Tatizo hamtaki kukubali kwa nchi zetu za ugali maharage hata Toothbrush and toothstic tunanunua alafu unajifanya. Ni upumbavu. Nitajie operating systems ya mchina unayotumia ktk simu aliyekuzidi kakuzidi tuuuuDuu! mkuu pole Sana mpaka unafika hatua ya kumwabudu mwanadamu ''eti asingekua hai'' mbona tulikua hai tangu hapo bila ya hata hizo dawa za kisasa na hizo technology tunaisha kwa neema ya mungu sio kwa mamlaka ya mwanadamu
ko uhai ni operating systemWewe mpaka Una survive unatumia Android au IOS. Tatizo hamtaki kukubali kwa nchi zetu za ugali maharage hata Toothbrush and toothstic tunanunua alafu unajifanya. Ni upumbavu. Nitajie operating systems ya mchina unayotumia ktk simu aliyekuzidi kakuzidi tuuuu
Tena angejua kua hizo technology ndo zinazolemaza waafrika na kutawalika kirahisi asingeongea hayoNaona unakufuru kwani mmarekani ndiye ana provide oxygen.
Kuna watu hawajui chochote kuhusu hizo technology wala huyo US lakini bado wanaishi.