Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Ukraine na Ulaya wamejifunza kwa uchungu sana, Marekani yawakataa

Zelenski bado anaendeleza fani yake ya comedy, yaani aliamua kupambana na Russia kwa kutegemea kwamba atasaidiwa? That's comedy through and through.
 
Tatizo la nchi za Ulaya zimekubali kuwa U.S vassal states, wamekubali internal na foreign policies zao zitegemee sera za Marekani wanaumia sana, ndicho anachopitia Japan, South Korea, Canada, Australia na U.S vassal states nyingine.
Huwa nashangaa sana eti taifa fulani likuwa adui ya Marekani na wao wanakuwa adui wa taifa hilo na ikiwa ni rafiki nao wanamfanya rafiki. Ujinga sana
 
Hivi mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la Urusi? Lakini pia mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la China? Walau Japan kuna JICA na Sweden kuna SIDA, ila hao giants Urusi na China wao ni maneno tu, misaada aaaah!
Wabongo bwana mnawaza misaada Tu. Kila mtu/nchi mnataka iwape misaada.

Akili ya kujitegemea itatoka wapi ikiwa kila mara mnawaza misaada tu.
 
Uchambuzi huu umeletwa kwa hisani ya sigara Kali ya Arusha.
 
Hivi mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la Urusi? Lakini pia mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la China? Walau Japan kuna JICA na Sweden kuna SIDA, ila hao giants Urusi na China wao ni maneno tu, misaada aaaah!
The China International Development Cooperation Agency (CIDCA) pia unaweza kuiita China Aid

BRI (Belt and Road Initiative)
 
Hivi mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la Urusi? Lakini pia mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la China? Walau Japan kuna JICA na Sweden kuna SIDA, ila hao giants Urusi na China wao ni maneno tu, misaada aaaah!
Kutoa misaada mpaka usikie taifa fulani lina shirika lake la misaada. 2023 Russia alifuta na kusamehe mikopo kwa nchi za Africa ya USD bil 23.
 
Ukiondoa Marekani NATO ni takataka, hawawezi kusimama wenyewe bila Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…