Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zelenski bado anaendeleza fani yake ya comedy, yaani aliamua kupambana na Russia kwa kutegemea kwamba atasaidiwa? That's comedy through and through.Mwaka 1968 aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani Henry Kissinger alisema:
"Inaweza kuwa hatari kuwa adui wa Marekani, lakini kuwa rafiki wa Marekani ni majanga."
– Henry Kissinger
Na Marekani imethibitisha kuwa Kissinger alikuwa sahihi. Mara kwa mara, Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Zamu hii Ukraine na Ulaya wamejifunza.
Akizungumza na washirika wa NATO mjini Brussel, Belgium, Waziri wa Ulinzi wa Marekani alitoa matamshi ambayo naamini mpaka sasa Zelensky na viongozi wa Ulaya hawaamini macho yao.
"Hakuna uanachama wa NATO kwa Ukraine"
"Hakuna vikosi vya Marekani kwenda nchini Ukraine"
"Hakuna askari wa NATO kwenda nchini Ukraine. Lakini nchi za Ulaya zinaweza kutuma wanajeshi wao wenyewe.”
"Lazima tuanze kwa kutambua kwamba kurudishwa kwa mipaka ya Ukraine ya kabla ya 2014 ni lengo lisilowezekana, kufuatia lengo hili lisilowezekana kutaongeza muda wa vita na kusababisha mateso zaidi."
"Wanajeshi wowote wa Uingereza au Ulaya ambao walitumwa nchini Ukraine hawatakuwa chini ya misheni ya NATO au na dhamana ya kifungu cha 5 cha muungano huo, watategemea usaidizi kutoka kwa mataifa yanayoshiriki."
– Pete Hegseth (Waziri wa ulinzi wa Marekani)
Na kama haitoshi naye Trump alifanya mazungumzo na Putin kwa saa 1:30 wakiafikiana kuwa watakutana Saudi Arabia mada kuu itakuwa suala la vita ya Ukraine.
Lakini wakati huohuo Trump alitumia dakika 10 tu kuongea kwenye simu na Zelensky.
Ukraine imepoteza mamia ya maelfu ya askari, mamilioni ya Waukraine wamekimbia nchi yao, wamepoteza karibu 20% ya ardhi yao na uchumi na miundombinu mingi kuharibiwa na Urusi.
Ulitaka afanyaje Russia ilipovamia nchi yake??Zelenski bado anaendeleza fani yake ya comedy, yaani aliamua kupambana na Russia kwa kutegemea kwamba atasaidiwa? That's comedy through and through.
Mkuu Xi Jinping, keep it up kwa
Uchambuzi wq Medani za Kimataifa.
Huwa nashangaa sana eti taifa fulani likuwa adui ya Marekani na wao wanakuwa adui wa taifa hilo na ikiwa ni rafiki nao wanamfanya rafiki. Ujinga sanaTatizo la nchi za Ulaya zimekubali kuwa U.S vassal states, wamekubali internal na foreign policies zao zitegemee sera za Marekani wanaumia sana, ndicho anachopitia Japan, South Korea, Canada, Australia na U.S vassal states nyingine.
Trust the U.S at your own risk 🤣🤣The Europeans are now experiencing what it truly means to be friends and allies of the United States😂😂😂
Massive mistake gani Ukraine iliyofanya?Nafikiri Taiwan itakuwa imejifunza from the massive mistake Ukraine made
Mfano wa Taifa gani?Huwa nashangaa sana eti taifa fulani likuwa adui ya Marekani na wao wanakuwa adui wa taifa hilo na ikiwa ni rafiki nao wanamfanya rafiki. Ujinga sana
Wabongo bwana mnawaza misaada Tu. Kila mtu/nchi mnataka iwape misaada.Hivi mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la Urusi? Lakini pia mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la China? Walau Japan kuna JICA na Sweden kuna SIDA, ila hao giants Urusi na China wao ni maneno tu, misaada aaaah!
Uchambuzi huu umeletwa kwa hisani ya sigara Kali ya Arusha., so ni lzm Trump arud nyuma aweke sw ila bila uwepo wa China kama superpower bas USA angemvagaa Urusi na kumdunda vzr maana hata kama angerud nyuma bas bado angekuwa kileleni maana kutoka yeye hadi mtu wa tatu anamzid krb mara 2 ila huyu wa pili yake yupo makalion , USA akidelay kdg China anakaa Mbele zaid , so uwepo wa China km mshindani wa USA ndo umefanya Trump afanye hayo maamuz
Hivi mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la Urusi? Lakini pia mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la China? Walau Japan kuna JICA na Sweden kuna SIDA, ila hao giants Urusi na China wao ni maneno tu, misaada aaaah!
Kutoa misaada mpaka usikie taifa fulani lina shirika lake la misaada. 2023 Russia alifuta na kusamehe mikopo kwa nchi za Africa ya USD bil 23.Hivi mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la Urusi? Lakini pia mbona sijawahi kusikia shirika la misaada la China? Walau Japan kuna JICA na Sweden kuna SIDA, ila hao giants Urusi na China wao ni maneno tu, misaada aaaah!
Kwani kuna ubaya mbona Ukraine anasaidiwa msaada wa silaha na Mercenaries, US Iraq na afighanstan alisaidia na washirika wake wa NATO, sasa cha ajabu kipi.Urusi inayotumia hadi wanajeshi wa Korea Kaskazini ya Kim Kiduku na kuchukua silaha kutoka China??
Kuiamini Marekani ndivyo Taiwan wanaamini Marekani itawapa ulinziMassive mistake gani Ukraine iliyofanya?
Angefanyaje Ukraine ilipovamiwa na Urusi?Kuiamini Marekani ndivyo Taiwan wanaamini Marekani itawapa ulinzi
North Korea, Venezuela, Iran, Russia, China (kibishara/tariffs)Mfano wa Taifa gani?
Ilitakiwa wafanye kile Urusi inatakaAngefanyaje Ukraine ilipovamiwa na Urusi?
LWe are strong together than alone.
Ukraine inahitaji support ya kila aina kutoka Nchi wananchama wa NATO, kama Marekani imekataa kwa sababu zake za siasa za ndani, basi wanachama waliobaki wajipange au waunde ummoja mpya na wamkaribishe mwenzao wakimuacha wanamkaanga.
Acha ajitoe akili lakini iko siku atatamani kushirikiana na yeyote hata Somalia na hatopata. Inaweza kuwa dua la kuku.