Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO

Hii ndio picha kubwa ya kile kinachoendelea duniani, wacha tuone hii michezo inaishia wapiπŸ™‚πŸ™‚
 
Hii mbona muda mrefu sn walikwisha fanya hivi,most US companies HQ yao kwa Africa ipo either Kenya or SΔ„ and hata mafuta wanayochota somalia wanabeba wakitokea Kenya
 
Watasogea sana maana wa US hawanaga shida ukiwa rafiki yao
Siyo kama Russia ambayo baada ya miaka atakuvamia na kudai ulitia saini mkataba ili muwe marafiki πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„..
 
Mambo ya watu yanatuhusu nini, hangaika na mambo ya nchi yako.
 
Sisi UAE wanatutambua pia.
 
Kwa hiyo mabeberu yameamua kuiteka kabisa hii himaya ya watu wa Africa mashariki??
 
Aisee hivi waafrika tutakua lini na akili? Nikweli hatujui njia za kupambana na rushwa mpaka upewe msaada wa bilioni 500 yenye masharti ya kupambana na rushwa?
Sisi kuliko kupambana na rushwa, wizi na udokozi tukaamua kuwapa wajomba zetu waarabu bandari zetu, misitu yetu na wanyama wetu. Kweli tuna akili kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…