Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East!

A senior Pentagon official confirms.

20240801_170011.jpg
 
Hapo marekan bila myahudi napo hakuna kitu. Myahudi anaongoza system za dunia.
Acha kudanganya Watu,historically IRISHMEN ndio wamejenga USA kuwa pale ilipo.
Hao wayahudi wako walikuja kunufaika kwa kuunda biashara ambazo zimekua kwa MISINGI NA MIFUMO BORA iliyojengwa na IRISHMEN.
Fuatilieni mambo msidanganye Watu.
 
Ule muda wa kilio cha wanaua watoto na wanawake umefika 😎
Aaaagh wapi.
Hao wanajeshi buku nne sawa na bei ya kunywea supu ya kuku hawatatisha lolote.
Ile dozi ya makombora 300 itaongezeka,pia kule kaskazini Galilaya Wazayuni hamisheni hadi kuku na bata maana Hizbollah ikishaanua matanga ya msiba kazi mnayo.
 
Aaaagh wapi.
Hao wanajeshi buku nne sawa na bei ya kunywea supu ya kuku hawatatisha lolote.
Ile dozi ya makombora 300 itaongezeka,pia kule kaskazini Galilaya Wazayuni hamisheni hadi kuku na Bata maana Hizbollah ikishaanua matanga ya msiba kazi mnayo.
Vp khs teknolojia wanayokuja nayo
 
Back
Top Bottom