Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East!

A senior Pentagon official confirms.
dini ya amani.
 
Kama vita ikitokea Israel itaumia zaidi.
Maana itakua ni religious war kitu ambacho USA hatoweza kuingilia.
Iran ndio itakayoumia zaidi, kwani Raia wa Iran wanaopinga Utawala uliopo nchini mwao watatumia nafasi hiyo ili kuuangusha Utawala huo wa Iran kwa kupata msaada kutoka kwa US na Israel pamoja na washirika wao wengine.
 
Mkuu unakosea vibaya.
Iran wala hawaupingi utawala wao,kuna asilimia ndogo sana ya raia wanaopinga utawala wa Iran.
Ila wengi wanaukubali,pia waajemi wana mshikamano sana katika taifa Lao.
Waache wagombane wenyewe ila kukiwa na external interference utaona wakiungana.Ndio maana unaona hadi leo lile taifa limesimama licha ya changamoto nyingi ya vikwazo vya kiuchumi.
 
Bila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Moja ya kumshinda adui ni backup hata wewe hapo kuna jambo likikukuta utatafuta wana wa kukusaidia hapo palestina naye awaite watu wake wamsaidie tu ,kama urusi inamuita mchina na mkorea kaskazini

USSR
 
InshaAllah kwa uwezo wa Mwenyezi Mashariki ya kati itatulia na watu wake wataishi Kwa amani kama kwingineko duniani.

USA anajinadi kama kiranja wa dunia, anakosea sana pale anapojikita kuwa biased na kumsaidia mtu mmoja kwenye ugomvi wa pande mbili.

Halijalishi nani ni mchokozi, suala la hatari ni watu kufa kufa hovyo na kuiendeleza chuki eneo hilo.

Inamaana dunia imeshindwa kulimaliza suala la Palestina na kukubali gharama kubwa kiasi hiki?, bila kulimaliza hili suala la Palestina mashariki ya kati itakuwa battle ground milele (labda Mwenyezi Mungu mwenyewe aamue kulimaliza kwa namna yake).
Hata Israeli pamoja na kwamba advantage iko kwake kijeshi ila bado nayeye anaumia katika hili kwa kuishi na tension muda wote.

Watu wa mashariki ya kati walipaswa kukaa chini wote na superpowers woote na kulimaliza tatizo la Palestina kwa wapalestina kupewa Taifa lao maana ya Gaza na West bank na maeneo yote ya walowezi halafu Israeli amegewe maeneo upande wa Syria, Lebanon na maeneo ya mto Jordan.
Palestina na Israeli waishi kama ndugu maeneo matakatifu ndani ya Jerusalem yawe yanatumikia na pande zote kwa ibada.
 
Mkuu hakuna haja ya Israel kumegewa ardhi Jordan wala Syria wala Lebanon.
1947 Ramani ilichorwa na ISRAEL alipewa ardhi kubwa sana inayotosheleza.
Ila shida ilianza 1948 Israel alipoanza territory expansion na UN under USA kukataa kuitambua Palestina kama taifa huru.Utata ulianza hapa.
Mipaka ipo cha kufanyika ni kurudiwa mipaka ya 1947 wala hakuna haja ya kukatwa mipaka upya.
 
Back
Top Bottom