Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Nani kakudanganya? Waarabu wengi sasa hivi akili ishaanza kuwaingia hawataki kusikia tena ujinga wa dini,nenda Dubai,Saudia, Morocco, Tunisia,Egypt,Qatar nk. Hakuna tena huo ujinga wa kufa kwa ajili ya upumbavu wa mwingine eti kisa dini.Kama vita ikitokea Israel itaumia zaidi.
Maana itakua ni religious war kitu ambacho USA hatoweza kuingilia.