Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Yemen wanasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nguruwe wewe ndo unajua hivyo lkn iran na hamas wao wanachojua hao ni machoko yanatakiwa yapigwe yapotee dunianiWe kuku, elewa ķupigana na myahidi ni sawa na kupigana na Dunia- maana wamesambaa kote hata hapa Africa wapo kibao.
Religious war? Are you absolutely sure?Kama vita ikitokea Israel itaumia zaidi.
Maana itakua ni religious war kitu ambacho USA hatoweza kuingilia.
Nakwambia hivi kaulize USA na Iraq 1980-1988 kwanini walishindwa vita walipovamia Iran!?Haya maneno tumeanza yaongea muda sana jamaa wanajigongea tu. Walimuua mpaka msaidizi wa hayatollah hawa manyang'au.
Bila shaka umeshapiga supu yako ya buku 4 hapo.Kama vita ikitokea Israel itaumia zaidi.
Maana itakua ni religious war kitu ambacho USA hatoweza kuingilia.
Absolutely sure.Religious war? Are you absolutely sure?
nani kakwambia ana wasi wasi?iran washasema wazi wazi kisasi cha ki historia kitalipwa na waungane hao mashogaHivi nyie hamueleweki si mnasemaga iran anamuweza marekani sa wasiwasi uko wapi si ndo iran akawabonde wote Israel marekani na nato wake wote au vp...
Tukitaka vichekesho hivi tupige ngapi🤣🤣🤣Bila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Believe it mkuu sawa nimeshiba supu ila malaria haijapanda kichwani kama mzee wa CHADEMA😂😂.Bila shaka umeshapiga supu yako ya buku 4 hapo.
Hiki ndio namaanisha na huenda pentagon na TEL Aviv walishakuwa na hii plan wakatafuta namna ya kumzuia Russia asiingie kama alivyoingia SyriaNdio mkuu,ila hawezi kufanya lolote vita ya Ukraine imemfanya awe cornerd.
Mkuu hizi bangi unavutia wapi!?Kama hujui 70% ya wamarekani ni wayahidi...
🙆🙆🙆🙆🙆Iran na makundi yake ya kigaidi - his days are numbered.
Vita ilishatokea mara nyingi na haikuwahi kuwa religious war.Na kama itakuwa religious war basi waarabu watamgeuka Mshia kwa kigezo cha u sunni.Kama vita ikitokea Israel itaumia zaidi.
Maana itakua ni religious war kitu ambacho USA hatoweza kuingilia.
Pinga kwa hoja, pinga statistically kwa kuweka numbers hereMkuu hizi bangi unavutia wapi!?
Huyo Rais wa Iran akicheza anamfata mwenzake sasa hivi wale wa yahudi wanapiganiwa na MunguMuda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel
BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East!
A senior Pentagon official confirms.
True. Na ndio maana mmarekani kampelekea Ukraine leo ndege alizoahidiwa baada ya muda mrefu wa kusubiri.Hiki ndio namaanisha na huenda pentagon na TEL Aviv walishakuwa na hii plan wakatafuta namna ya kumzuia Russia asiingie kama alivyoingia Syria
Vita ilishatokea mara nyingi na haikuwahi kuwa religious war.Na kama itakuwa religious war basi waarabu watamgeuka Mshia kwa kigezo cha u sunniKama vita ikitokea Israel itaumia zaidi.
Maana itakua ni religious war kitu ambacho USA hatoweza kuingilia.
Irish Men au watu wa Irish Ancentry wapo Carlifornia kwa asilimia 70% na New Hampshire wapo kwa 20%Acha kudanganya Watu,historically IRISHMEN ndio wamejenga USA kuwa pale ilipo.
Hao wayahudi wako walikuja kunufaika kwa kuunda biashara ambazo zimekua kwa MISINGI NA MIFUMO BORA iliyojengwa na IRISHMEN.
Fuatilieni mambo msidanganye Watu.
Viongozi wa dini? 😅😅Believe it mkuu sawa nimeshiba supu ila malaria haijapanda kichwani kama mzee wa CHADEMA😂😂.
Mufti wa Oman alisema ni haramu kwa muislam kumuona muislam mwenzake anauawa pasi na yeye kufanya kitu.
Akilizungumzia hili baada ya Israel kushambulia Hodeidah Yemeni.
Embu chukuliwa picha viongozi wa dini wakishikilia hili na kulipazia sauti.