Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Fact.Basi ugomvi wangu mimi na huyo ni kudai kuwa USA imesimamishwa na wayahudi kiuchumi na pia asilimia 70 ya raia wa Marekani ni wayahudi.
Hizo ndizo nilizozikataa mimi.
Misingi ya kukua USA haikujengwa na myahudi.Japo ukuaji wa kibiashara na technology myahudi kahusika ila foundation is not him.
Misingi ya USA ilianzia kwa Wafaransa wa Paris. Unaweza kusema kama sio Mfaransa kumdhoofisha Muingereza basi Mmarekani asingepata Uhuru in mid 1770's
Labda angekuja kupata uhuru miaka tuliopata sisi Waafrika na India tena kwa jasho na damu