Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

Nyuma ya keyboard kuna watu wanajua sana historia na uchambuzi wa masuala ya kijeshi tena ya Marekani, Europe na Middle East kuliko hata wataalam wenyewe. Mtu anaandika utafikiri ni Mossad au CIA msataafu kumbe lijamaa flani tu la Buza huko story tu limeskia kwenye gahawa ila inaandikwa kwa kushupaa utadhani ndo linashikilia mifumo. Subiri watu waanze kushenyentana ndo tutajua nani best kwa sasa sisi tusubiri. Hakuna anayejua target za mmoja dhidi mwenzie kati ya Iran na Israel
 
Nakwambia hivi kaulize USA na Iraq 1980-1988 kwanini walishindwa vita walipovamia Iran!?
Nasubiri jibu.
Haya maneno tumeanza yaongea muda sana jamaa wanajigongea tu. Walimuua mpaka msaidizi wa hayatollah hawa manyang'au.
 
kwanini USA anapeleka majeshi mapema hivi? wachambuzi wekeni comments za kivita
 
Vita ilishatokea mara nyingi na haikuwahi kuwa religious war.Na kama itakuwa religious war basi waarabu watamgeuka Mshia kwa kigezo cha u sunni.
Uislam pale asiye muislam akiingilia kati madhehebu yanakaa pembeni.
Ikitokea vita ya kidini Sunni na shia wanakua kitu kimoja kwaajili ya uislamu.
Incase you don't know.
 
Viongozi wa dini? 😅😅
Serikali ndio inamiliki jeshi, na nchi nyingi za kiarabu serikali zao zimekuwa vibaraka wa Israel thru USA
Waarabu washaanza kuwa wajanja.
Hivi unajua mkuu waarabu wameanza kuunda vikundi vya wanamgambo na serikali zao ndio zinafadhili hao wanamgambo!?
Bahrain imeundwa kundi jipya la wanamgambo na Bahrain yenyewe ndio inalilisha hilo kundi.
Ila chambo wa kuwa kiongozi atakua Iran kwasababu hilo kundi limehusishwa na axis of resistance.
Embu mkuu define briefly Kepler's laws of motion halafu usolve equation.
 
Irish Men au watu wa Irish Ancentry wapo Carlifornia kwa asilimia 70% na New Hampshire wapo kwa 20%

Namba ya Jews Ancentry waliopo U.S.A ni kubwa sana na wanamiliki Uchumi mkubwa wa Marekani hasa katika Technology Field kwa karne nyingi

Hawa waliwatangulia watu kutoka visiwa vya British Isles ambao ni pamoja na Irish na Scotish Men

Unachotaka kubisha ni kipi?
Hili nitalifuatilia.
Ila hata uhuru wa hiyo USA ilipiganiwa na hao Irish.
Nakubali matajiri wakubwa wa USA ni wayahudi ila sio UNIDANGANYE 70% ya raia 300 millions of USA ni wayahudi.
Hapo usinidanganye.
 
Ni wapi nimekuambia 70% ni Wayahudi?

Unajua kusoma?

Nimekuambia katika jimbo la California kuna watu wenye asili ya Ireland (Irish Ancentry) asilimia 70% na New Harmpshare wapo 20%

Wayahudi walikuwepo even before na waliasisi mapinduzi makubwa ya American Technology na Ulaya pia.
 
Hivi bila wazungu hawa wajinga wanaweza savaivu?
 
Irish Men au watu wa Irish Ancentry wapo Carlifornia kwa asilimia 70% na New Hampshire wapo kwa 20%

Namba ya Jews Ancentry waliopo U.S.A ni kubwa sana na wanamiliki Uchumi mkubwa wa Marekani hasa katika Technology Field kwa karne nyingi

Hawa waliwatangulia watu kutoka visiwa vya British Isles ambao ni pamoja na Irish na Scotish Men

Unachotaka kubisha ni kipi?
Idadi wa wayahudi US ni only 2% hizo story zako za uwongo pelekea walokole wenzako
 
Ni wapi nimekuambia 70% ni Wayahudi?

Unajua kusoma?

Nimekuambia katika jimbo la California kuna watu wenye asili ya Ireland (Irish Ancentry) asilimia 70% na New Harmpshare wapo 20%

Wayahudi walikuwepo even before na waliasisi mapinduzi makubwa ya American Technology na Ulaya pia.
Basi ugomvi wangu mimi na huyo ni kudai kuwa USA imesimamishwa na wayahudi kiuchumi na pia asilimia 70 ya raia wa Marekani ni wayahudi.
Hizo ndizo nilizozikataa mimi.
Misingi ya kukua USA haikujengwa na myahudi.Japo ukuaji wa kibiashara na technology myahudi kahusika ila foundation is not him.
 
Hili nitalifuatilia.
Ila hata uhuru wa hiyo USA ilipiganiwa na hao Irish.
Nakubali matajiri wakubwa wa USA ni wayahudi ila sio UNIDANGANYE 70% ya raia 300 millions of USA ni wayahudi.
Hapo usinidanganye.
Well sijui wewe umesoma Historia ipi?

Walioisaidia U.S.A katika revolution mpaka Independence ni FRENCH PEOPLE (Wafaransa) kuanzia Uniform za jeshi, matibabu, Silaha na wanajeshi kwasababu waliahidiwa kupewa eneo la Virginia lote na Pia French alikuwa hasimu mkubwa wa Muingereza aliyeifanya USA koloni

Ndio maana ni vigumu sana kusikia USA ikikinzana na France...Na baadae ili kuweka alama ya Umoja wao, Mhandisi mbobevu AUGUSTE BATHOLDI Mfaransa akabuni na kujenga Statue of liberty na Wamarekani na Wafaransa wakala kiapo cha kutopigana milele

Mkuu mkuu hii historia nitaifuatilia.
Kumbe FRANCE NDIO ALIKUA MFADHILI WA UHURU WA USA!??
Basi ngojea tukadadavue zaidi.
 
Back
Top Bottom