Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

Acha kudanganya Watu,historically IRISHMEN ndio wamejenga USA kuwa pale ilipo.
Hao wayahudi wako walikuja kunufaika kwa kuunda biashara ambazo zimekua kwa MISINGI NA MIFUMO BORA iliyojengwa na IRISHMEN.
Fuatilieni mambo msidanganye Watu.
Sasa umejibu nn nje ya kile nimewasilisha. .?
 
Hakuna haja ya kurejea. Ukishikilia uchumi/biashara kubwa za kitechnolojia kipi kitasalia hapo..?
Unaamini uchumi wa USA unaegemea hivyo tu??
Hivi unajua kama China wanatamani watie mikono katika sekta nyingi za kiuchumi hapo USA!?
 
Yani wewe ndio huna hata unachokijua dunia nchi za magharibi ndio zimeshikilia uchumi ,uingereza, marekani,germany na france and other european countries hao
Uingereza na wana mikataba ya kulindana ili kulinda maslahi yao hizo nchi nilizozitaja zilikuwa na nguvu kabla hata ya hicho kitaifa cha mchongo ndio maana hata hitler aliweza kuwakaanga na hawakuweza kufanya chochote ni waongo waongo sana ila ukiwafuatilia ni weupe sana ,kaenda kuchokoza watu halafu anaomba msaada marekani si tabia za kike hizo
 
Bila myahudi hakuna taifa kubwa na lenye power kijeshi
Nendeni shule siyo kuangalia movie huyo israel alifanikiwa kitu gani kwenye dunia cha kuonyesha yeye ana nguvu? Au kuhangaika na mgambo kwa zaidi ya miaka 40 pamoja na kuishi kwa kutegemea misaada kutoka kwa magharibi
 
Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East!

A senior Pentagon official confirms.

Hahaha siku zote mbona wapo nawanaliwa na Missiles na Risasi, labda wale alio pekeka mwanzo walisha malizwa.
 
Hizo unazozisemea wewe zote nilisoma hakuna jipya hapo zaidi ya CONSPIRACY.
-Qatar haijakubaliana na USA mbona haijapatwa na kitu!?
-Malaysia mbona haijakubaliana na USA na inaendelea!?
-Indonesia mbona haijakubaliana na USA na inaendelea!?
-Nchi za ASIA PACIFIC zina utajiri mkubwa wa gesi na mbona ziliamua kuchagua upande wa China na hazijaharibiwa popote!?

Suala la middle east lina uwanda mpana,kwasababu pale sio tu USA hata Western powers pia walipatikia macho toka miaka ya nyuma.
Ila suala la Israel kuwepo pale ni kwasababu pale ni nyumbani kwake.
Myahudi kazaliwa middle east we ulitaka aende wapi!??
Ilaa mzayuni ndio amefanya myahudi aonekane mbaya.
Iran inapambana sio tu na American influence bali Western influence kiujumla.
Kumbe naongea na kilaza. Ushawah kuona soko la hisa la Malay au Indonesia au hata uwekezaji mwingi unatoka wap. China kwenyewe na jeur yao wawekezaji wakubwa ni hao wamarekan. Hawa jamaa mifumo yote ya uchumi wameshikilia. Dollar inaendesha kila kitu code zao. Ukitaka kulipia mzigo china kupitia benki leo zinapita kwenye mifumo yao utawakwepea wapi wewe
 
Bila Marekani myahudi ni mwepesi sana
mmarekan na mrusi wapo kwaajili kuchek balance of power , mrusi kapeleka makombora iran mmarekan kapeleka mimanowari na makomando 4000 api ni moscow vs washington huku hisbollah na idf wakiendelea kunyeshana makali
 
Wanataman..? Tuongee waliopo
Hao waliopo mkuu hawana pa kutamba zaidi ya hapo USA.
Na pia wana good government support ndio maana wanainuka.
Sasa watoke hapo kama wajanja uone kama wataendelea kama walivyoendelea hapo USA.
 
Kumbe naongea na kilaza. Ushawah kuona soko la hisa la Malay au Indonesia au hata uwekezaji mwingi unatoka wap. China kwenyewe na jeur yao wawekezaji wakubwa ni hao wamarekan. Hawa jamaa mifumo yote ya uchumi wameshikilia. Dollar inaendesha kila kitu code zao. Ukitaka kulipia mzigo china kupitia benki leo zinapita kwenye mifumo yao utawakwepea wapi wewe
Ndio maana nasema NAONGEA NA TUTUSA WA STORI ZA VIJIWENI.
-Malaysia na Indonesia uwekezaji wao mkubwa ni ushirika wa China na Qatar.Nimezifuatilia vema hizi nchi.
Wachina na Qatar pale wamefanya massive investments tena sio mchezo.
-China uchumi wake ni closed economy nikimaanisha sekta nyingi za uchumi zinamilikiwa na serikali.
90% ya viwanda vya China ni government owned ama government subsidies.Mwaka 1992 China inafanya mageuzi ya uchumi ilijenga viwanda takriban elfu 45 vyote ni state owned industries.Ndio maana HAKUNA kitu USA atafanya cha kumuangusha China.Refer trade war ya 2018,hivi unajua malipizo ya US kui ban Google isitumike na Huawei kuliiletea sana madhara USA ya kiuchumi!?
Rare earth metals 80% zinazalishwa China,China alipiga ban zisiingie USA,vipuli na ghafi nyingi za boti na vyuma USA anatoa China kwa cheap price,China alipiga ban visiende USA.Viwanda vingi vilipunguza uzalishaji hapo USA kwa kukosa malighafi kutoka China.
Na USA amewekeza China kwasababu China kuna soko kubwa kulingana na population ya China pia kubwa zaidi China kuna highly skilled labours ambao ni cheap in salary.
USA akijifanya afunge uwekezaji wake China hivyo viwanda na uwekezaji mwingine vyote vitahodhiwa na serikali ya China na kumletea yeye ushindani zaidi.
Mbona hatukuwaona hao Rothschild family kuiokoa USA na Kuikandamiza China!?
Hivi unajua kama China ana deni kwa USA la zaidi ya $3.6 trillions la treasury bill!??
Unajua hiyo ina nguvu gani kiuchumi kwa China na hasara gani kiuchumi kwa USA!!??
Mbona hiyo Rothschild family haikuja na kuiokoa USA dhidi ya hilo deni na kuiacha salama!?

Muda mwingine ndugu zanguni mukae muchunguze mambo kabla hamjamezeshana vichekesho huko vijiweni.
 
Hao waliopo mkuu hawana pa kutamba zaidi ya hapo USA.
Na pia wana good government support ndio maana wanainuka.
Sasa watoke hapo kama wajanja uone kama wataendelea kama walivyoendelea hapo USA.
Ushapata pakupiga maokoto utoke uende wapi..? Na wanatoka coz kaz zao tuna tumia bidhaa zao.
 
Back
Top Bottom