Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Wakamtoe usaBila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Hapo marekan bila myahudi napo hakuna kitu. Myahudi anaongoza system za dunia.Bila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Bila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Wanajeshi wadogo hapo silaha ndio zimepelekwa.Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel
BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East!
A senior Pentagon official confirms.
Acha kudanganya Watu,historically IRISHMEN ndio wamejenga USA kuwa pale ilipo.Hapo marekan bila myahudi napo hakuna kitu. Myahudi anaongoza system za dunia.
Unamaanisha Urusi hawezi kutia miguu middle east!?Israel haiwezi kutishwa USA akae kimya never on earth
Kule Urusi alishakabidhiwa kinyago kimtishe anashindwa kutia miguu huku
Dah,
Aaaagh wapi.Ule muda wa kilio cha wanaua watoto na wanawake umefika 😎
Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel
BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East!
A senior Pentagon official confirms.
Utawala wa kibedui uliopo Iran ukifanya mchezo unaweza kuangushwa vibaya Sana kupitia Vita hii ya Israel na Palestina/Hamas.
Vp khs teknolojia wanayokuja nayoAaaagh wapi.
Hao wanajeshi buku nne sawa na bei ya kunywea supu ya kuku hawatatisha lolote.
Ile dozi ya makombora 300 itaongezeka,pia kule kaskazini Galilaya Wazayuni hamisheni hadi kuku na Bata maana Hizbollah ikishaanua matanga ya msiba kazi mnayo.
Kama vita ikitokea Israel itaumia zaidi.Utawala wa kibedui uliopo Iran ukifanya mchezo unaweza kuangushwa vibaya Sana kupitia Vita hii ya Israel na Palestina/Hamas.
Teknolojia gani mkuu?Vp khs teknolojia wanayokuja nayo