No too late wameshindwaNingependa kujuzwa na wajuvi wa mambo na wataalam wa siasa za kimataifa katika hili swali langu.
Je, nchi ya Marekani ina shida gani na haya mataifa mawili Iran na Korea Kaskazini ? Kwa nini tawala mbalimbali za Marekani zinayatendea haya mataifa kama tishio kwa marekani ?
Maoni yangu binafsi:
Mimi binafsi sioni hilo tishio kama linavyo elezwa kwa haya mataifa mawili kwa marekani tofauti kidogo na China na Russia.
N.b:
Ningependa watakao changia wawe na utimamu wa akili. kebehi,kejeri na lugha yoyote isiyofaa hapa sio mahala pake.
Moderator uangalizi wako nauhitaji katika huu uzi.
Ugomvi wa iran na usa sio kingine bali ni hilo taifa la mchongo la israelNingependa kujuzwa na wajuvi wa mambo na wataalam wa siasa za kimataifa katika hili swali langu.
Je, nchi ya Marekani ina shida gani na haya mataifa mawili Iran na Korea Kaskazini ? Kwa nini tawala mbalimbali za Marekani zinayatendea haya mataifa kama tishio kwa marekani ?
Maoni yangu binafsi:
Mimi binafsi sioni hilo tishio kama linavyo elezwa kwa haya mataifa mawili kwa marekani tofauti kidogo na China na Russia.
N.b:
Ningependa watakao changia wawe na utimamu wa akili. kebehi,kejeri na lugha yoyote isiyofaa hapa sio mahala pake.
Moderator uangalizi wako nauhitaji katika huu uzi.
Umechanganya mno mambo,suala ni shah kuwataka BP(uingereza),SHELL(Ufaransa) na kampuni la marekani kulipa mirabaha stahiki kwenye uchimbaji mafuta Iran,kwa ulafi wao wakaona Iran itanufaika,wakamsaidia ayatollah khomeini kupindua nchi waliingia nae mkataba wa kuchamba mafuta wa kihuni, ayatollah akasaini,akaingia ikulu,aka-apply taqiya(yaani kubali jambo hata kama baya kwako ukiwa dhaifu na ukipata nguvu kataa), ndiyo mwanzo wa uadui wa magharibi na Iran, ndiyo maana 1979 mapinduzi na vikwazo havikukawiaTukianza na Iran, USA imekuwa iki-intefare masala ya ndani ya Iran hata kabila ya utawala WA sasa WA ayatollah(1979)
Makampuni ya magharibi (mfano BP) yalikuwa yanachimba mafuta katika njia ambayo hazikuwa Sawa.
Ufalme ulikuwa ni kama puppet
Iran iliwahi kufanya uchaguzi WA kidemokrasia na Mohammed Mosadeggh alichagukiwa kuwa waziri mkuu.
Huyu kama alikuwa ni tatizo kwao akaja kupinduliwa kazi ikiwa imefanywa na CIA na MI6 KAZI ikiwa imeongezwa na Kermit Roosevelt Jr, ufalme ukalejeshewa nguvu na serikali ya kidemokrasia ikapinduliwa na mafuta yakaendelea kutonufaisha wa-Iran
Baadae ya kuanguka serikali ya kidemokrasia kukaanza kuibuka harakati zinazoambatana na itikadi za dini kulingana na Hali nzima ya kimaisha na chuki iliyoambatana exploitation ya mafuta inayofanywa na UK na USA
Kwenye miaka 1970s uchumi ulikuwa ni mbaya na ufalme ulikuwa Una ubadilivu, na watu wengi walikuwa wanachukizwa pia nchi kuwa na karibu na nchi za magharibi.
Kwa uongozi lazima uwe kinyume na lazima kungekuwa UTAIFISHAJI WA kampuni za mafuta pasipo ku-serve interest za mataifa ya kigeni.
Baadae ya mapinduzi 1979 mataifa ya magharibi yakaanza kumuunga mkono Saddam Hussein kwenye vita vya Iran-Iraq, Kwa lengo pia ya kuondoa utawala mpya ya ayatollah
Kwa mantiki hiyo USA ilikuwa inatamani kuondoa utawala WA Iran maana hakuwai tena na control ya mafuta, lakini mapinduzi Yale yangeweza hari Kwa nchi zingine za Middle east maana ya mapinduzi ayatollah aliwahizima wananchi kwenye nchi za kiislamu kufanya mapinduzi na kuondoa tawala za zote za kifalme kwani ni puppet govs.
Na hapa ndipo tawala kama za Saudi Arabia, Iraq, Kuwait, Qatar, UAE zikaanza kuichukulia Iran kama ni tishio lakini pia Israel Kwa sababu Iran ilikuwa ni supporter WA PLO ya Yasser Arafat
Ili kujilinda na USA na hasa kutokana vita vya miaka minane lakini pia historia ya serikali ya kidemokrasia iliyopindiliwa 1953, Iran ilianza projects za space hasa za uundaji WA makombora na urutunishaji WA uranium (Iran wanadai ni Kwa matumizi ya kiraia)
Hana lolote,kashiba propagandaFafanua mkuu kuhusu hiyo Axis of Evils
Wabongo huwa kwa kukariri hawajamo et axis of evil .. na yeye anabeba kama ilivyo usa akisema fulan ni gaidi na wao wanaimba hivo hivyoHana lolote,kashiba propaganda
Hoja ya kukiuka haki za binadamu ni hoja ya kipuuzi.Marekani ina mvutano na Iran na Korea Kaskazini kwa sababu ya masuala ya nyuklia, usalama, na siasa za kimataifa:
Sababu kuu
• Iran: Marekani inahofia mpango wake wa nyuklia, ufadhili wa makundi kama Hezbollah, ushawishi wake Mashariki ya Kati, na udhibiti wake wa Mlango wa Hormuz.
• Korea Kaskazini: Ina silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu, utawala wake unakiuka haki za binadamu, na ina mvutano na Korea Kusini, mshirika wa Marekani.
Korea Kaskazini na Iran siyo tishio kwa Marekani. Iran ni tishio kwa Israel Korea Kaskazini ilikuwa tishio kwa Korea Kusini.Ningependa kujuzwa na wajuvi wa mambo na wataalam wa siasa za kimataifa katika hili swali langu.
Je, nchi ya Marekani ina shida gani na haya mataifa mawili Iran na Korea Kaskazini ? Kwa nini tawala mbalimbali za Marekani zinayatendea haya mataifa kama tishio kwa marekani ?
Maoni yangu binafsi:
Mimi binafsi sioni hilo tishio kama linavyo elezwa kwa haya mataifa mawili kwa marekani tofauti kidogo na China na Russia.
N.b:
Ningependa watakao changia wawe na utimamu wa akili. kebehi,kejeri na lugha yoyote isiyofaa hapa sio mahala pake.
Moderator uangalizi wako nauhitaji katika huu uzi.
Iran akiwapa Hezbollah au Houthi missile yenye nyukilia unategemea nani atabaki salama? Wenzio wakishatamka "Allahu Akbar" akili zote zinahamia kwa wale bikira72 kinachofata nazani unakijiuaNingependa kujuzwa na wajuvi wa mambo na wataalam wa siasa za kimataifa katika hili swali langu.