Marekani ina shida gani na Iran na Korea Kaskazini ?

Marekani ina shida gani na Iran na Korea Kaskazini ?

Wabongo huwa kwa kukariri hawajamo et axis of evil .. na yeye anabeba kama ilivyo usa akisema fulan ni gaidi na wao wanaimba hivo hivyo
Hata Zimbabwe ya Mugabe iliwahi kuwekwa kwenye kundi hilo na wamarekani.
 
To be an enemy of the United States of America is dangerous but to be a friend is fatal.
 
Marekani ina mvutano na Iran na Korea Kaskazini kwa sababu ya masuala ya nyuklia, usalama, na siasa za kimataifa:

Sababu kuu
• Iran: Marekani inahofia mpango wake wa nyuklia, ufadhili wa makundi kama Hezbollah, ushawishi wake Mashariki ya Kati, na udhibiti wake wa Mlango wa Hormuz.


• Korea Kaskazini: Ina silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu, utawala wake unakiuka haki za binadamu, na ina mvutano na Korea Kusini, mshirika wa Marekani.
Eti utawala wa Korea una kiuka haki za kibinadamu 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom