Umewaweka kwenye kona hadi wamejaa.Kwahio wa marekani wote wajinga kuliko watu wale 200 sijui 400
Sio munajua nikwamba marekani hakuna demokrasia
Sasa kama mnaona sawa kama mnavyodai kwanini kwawengine iwe ishu kubwa wakifanya kama wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewaweka kwenye kona hadi wamejaa.Kwahio wa marekani wote wajinga kuliko watu wale 200 sijui 400
Sio munajua nikwamba marekani hakuna demokrasia
Sasa kama mnaona sawa kama mnavyodai kwanini kwawengine iwe ishu kubwa wakifanya kama wao?
Nambie wapi nimesema wizi sio njia yakupata maendeleo?Sasa mbona marekani ni super power kiuchumi duniani kama unasema wizi siyo njia ya kupata maendeleo. Wewe ambaye huibi una maendeleo Gani kizidi marekani wakati ndo wanakupa msaada wa kila aina kwa wizi wao huo
Vijana wepesi sana hawana hoja kwahio kuwapeleka kwenye kona rahisi sana[emoji3]Umewaweka kwenye kona hadi wamejaa.
Nchi za Africa mmeshindwa Nini kuwaibia wazungu ilinanyimue delete. Au akili za kuiba hamnaNambie wapi nimesema wizi sio njia yakupata maendeleo?
Kuhusu hili niliisha kujibu huko juu kua wizi sio njia nzuri ya kupata maendeleoNchi za Africa mmeshindwa Nini kuwaibia wazungu ilinanyimue delete. Au akili za kuiba hamna
Mbona unajicontadict Sasa. Unasema siyo njia nzuri wakati marekani wameendelea kwa wizi na Wana maendeleo. Wewe njia zako ni zipi ambazo zimekuganya uwe maskini mpaka Leo. Ni mda mwafaka Sasa achana na hizo njia mana hazina tija. Anza kuwaibia wazunguKuhusu hili niliisha kujibu huko juu kua wizi sio njia nzuri ya kupata maendeleo
Kama kuiba mnaona njia nzuri za maendeleo mbona wizi wakiiba mnawakamata
Naomba nikuache maana uelewa wako changamotoMbona unajicontadict Sasa. Unasema siyo njia nzuri wakati marekani wameendelea kwa wizi na Wana maendeleo. Wewe njia zako ni zipi ambazo zimekuganya uwe maskini mpaka Leo. Ni mda mwafaka Sasa achana na hizo njia mana hazina tija. Anza kuwaibia wazungu
Na hakuna anayeiba ktika Hao.Nakwambia tena achana na masuala ya huko twende haya uloyaleta ya marekani huko achana nao
Raia 200M wa marekani ndio wanaochagua rais wa marekani?
Sasa kuna nchi yenye demokrais duniani kama marekani. Umeshawahi ona rais kinganganizi madarakani? Umeshawahi ona rais ni final katika maamuzi ya nchi huko marekani? Umeshawahi ona bunge linawekwa mfukoni na rais kama huku kwetu ambapo bunge halina kazi kabisa ni rubber stamp ya serikali walu kipindi hiki afadhari kidogoNaomba nikuache maana uelewa wako changamoto
Ila tukiregelea kwenye mada muache kupotosha umma kwamba marekani kuna demokrasia
Tumia akili baada ya vita ya pili ya dunia marekani ilifanya ujanja wa kimikataba kuhusu pesa yake iwe ndiyo pesa ya duniaKwa Nini pesa yetu isiwe ya Dunia? Ndo mana nasema wale Wana akili kubwa na akilinyao imetokana na demokrasia. Pesa kuwa ya Dunia maana yake money supply na demand for money are balanced
Sasa si mjitoe huko nani anawalazimisha. Mbona Russia anatuma pesa yake baada ya vikwazoTumia akili baada ya vita ya pili ya dunia marekani ilifanya ujanja wa kimikataba kuhusu pesa yake iwe ndiyo pesa ya dunia
Ndiyo maana kumekuja na kitu kinachoitwa BRICS lengo ni kupunguza jeuri ya marekani kiuchumi aliyo kuwa anaitumia vibaya....sasa hivi marekani kashikwa pabaya sanaSasa si mjitoe huko nani anawalazimisha. Mbona Russia anatuma pesa yake baada ya vikwazo
Hujajibu swaliNa hakuna anayeiba ktika Hao.
Kwenu ndio wapi mtajijua wenyewe na huko kwenuSasa kuna nchi yenye demokrais duniani kama marekani. Umeshawahi ona rais kinganganizi madarakani? Umeshawahi ona rais ni final katika maamuzi ya nchi huko marekani? Umeshawahi ona bunge linawekwa mfukoni na rais kama huku kwetu ambapo bunge halina kazi kabisa ni rubber stamp ya serikali walu kipindi hiki afadhari kidogo
Mi nazungzia demokrasia Yao ya ndani halafu unakuja na nhonjera za Syria. Sasa wizi wa wa resources kutoka katika nchi zilizozubaa si credit kwa demokrasia Yao. Sisi hatuwezi kuiba kwa sababu hatuelewani kila mtu anaangalia maslahi yake na famili yake hakuna mwenye u hungu na nchi hata rais mwenyewe. Lakini wenzetu wanaangalia nchi kwanza ndo mana wansiba ili kuzinifaisha nchi zaoHujajibu swali
Kama wizi marekani anajibebea tu mafuta pale Syria
Kwa utajiri huu bora nife maskini
Ni juha wa kidini huyoWewe jamaa unachekeshaa ko unataka kusemaa Biden ni dikteta wakatii hana hta uhakika wa kushinda uchaguzii kwa muhula mwingine,,,Trump alikuwa dikteta akashindwa kuendelea kuwa Rais kwa muhula mwingine Sasa udikteta huo ni wa Nini wakati yeye mwenyewe au chama chake hakina uwezo wa kuendelea kubaki madarakanii
Ukitoa hiyo dollars inayotumika dunia nzima hao marekani wanakipi cha ziada kwa sasa kwa dunia ya sasaSijui kwanini cho za Afrika au za Asia hazijifunzi kwa marekani wakawa na demokrasia. Hivi kwa mfano Kim jong UN, Putin nk wakifa lazima nchizi zao zitingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe mana mtu mmoja ndo mwamuzi wa mwisho tofauti na marekani ambapo hata Rais siyo final.
Nchi za Afrika kama Rwanda, Uganda nk nao Marais wao wakifa vita ya wenyewe kwa wenyewe haiepukiki mana all powers are vested on one person.
Marekani haiwi shakeni na yeyote kw asababu misingi ya demokrasia ni mikubwa sana kiasi ambacho haideal na trivial issues kama eti kumtukana rais sijui Nini eti polisi akimbizane na wewe kisa umemtukana rais.
Chi zetu hizi hata ukiandika mtandaoni tu kwamba rais ni mpumbavu unakamatwa na ama kuuawa au kupotezwa kama Ben saanane kipindi Cha jpm. Museven au kagame wanaua hadharani kabisa watu wao. Huu ni ujinga wa hizi ngozi zetu na kamwe tutasindikiza wenye akili. Ndo mana hata papa alipoend marekani alisema " The nation of the brains"