Marekani inakuwa stronger sana kiuchumi au kijeshi kwa sababu ya strong base ya demokrasia waliyo nayo. Hata rais haiwezi kuleta migumo yake

Marekani inakuwa stronger sana kiuchumi au kijeshi kwa sababu ya strong base ya demokrasia waliyo nayo. Hata rais haiwezi kuleta migumo yake

Kwahio wa marekani wote wajinga kuliko watu wale 200 sijui 400

Sio munajua nikwamba marekani hakuna demokrasia

Sasa kama mnaona sawa kama mnavyodai kwanini kwawengine iwe ishu kubwa wakifanya kama wao?
Umewaweka kwenye kona hadi wamejaa.
 
Sasa mbona marekani ni super power kiuchumi duniani kama unasema wizi siyo njia ya kupata maendeleo. Wewe ambaye huibi una maendeleo Gani kizidi marekani wakati ndo wanakupa msaada wa kila aina kwa wizi wao huo
Nambie wapi nimesema wizi sio njia yakupata maendeleo?
 
Nchi za Africa mmeshindwa Nini kuwaibia wazungu ilinanyimue delete. Au akili za kuiba hamna
Kuhusu hili niliisha kujibu huko juu kua wizi sio njia nzuri ya kupata maendeleo

Kama kuiba mnaona njia nzuri za maendeleo mbona wizi wakiiba mnawakamata
 
Kuhusu hili niliisha kujibu huko juu kua wizi sio njia nzuri ya kupata maendeleo

Kama kuiba mnaona njia nzuri za maendeleo mbona wizi wakiiba mnawakamata
Mbona unajicontadict Sasa. Unasema siyo njia nzuri wakati marekani wameendelea kwa wizi na Wana maendeleo. Wewe njia zako ni zipi ambazo zimekuganya uwe maskini mpaka Leo. Ni mda mwafaka Sasa achana na hizo njia mana hazina tija. Anza kuwaibia wazungu
 
Naomba nikuache maana uelewa wako changamoto
Ila tukiregelea kwenye mada muache kupotosha umma kwamba marekani kuna demokrasia
 
Nakwambia tena achana na masuala ya huko twende haya uloyaleta ya marekani huko achana nao

Raia 200M wa marekani ndio wanaochagua rais wa marekani?
Na hakuna anayeiba ktika Hao.
 
Naomba nikuache maana uelewa wako changamoto
Ila tukiregelea kwenye mada muache kupotosha umma kwamba marekani kuna demokrasia
Sasa kuna nchi yenye demokrais duniani kama marekani. Umeshawahi ona rais kinganganizi madarakani? Umeshawahi ona rais ni final katika maamuzi ya nchi huko marekani? Umeshawahi ona bunge linawekwa mfukoni na rais kama huku kwetu ambapo bunge halina kazi kabisa ni rubber stamp ya serikali walu kipindi hiki afadhari kidogo
 
Kwa Nini pesa yetu isiwe ya Dunia? Ndo mana nasema wale Wana akili kubwa na akilinyao imetokana na demokrasia. Pesa kuwa ya Dunia maana yake money supply na demand for money are balanced
Tumia akili baada ya vita ya pili ya dunia marekani ilifanya ujanja wa kimikataba kuhusu pesa yake iwe ndiyo pesa ya dunia
 
Tumia akili baada ya vita ya pili ya dunia marekani ilifanya ujanja wa kimikataba kuhusu pesa yake iwe ndiyo pesa ya dunia
Sasa si mjitoe huko nani anawalazimisha. Mbona Russia anatuma pesa yake baada ya vikwazo
 
Sasa si mjitoe huko nani anawalazimisha. Mbona Russia anatuma pesa yake baada ya vikwazo
Ndiyo maana kumekuja na kitu kinachoitwa BRICS lengo ni kupunguza jeuri ya marekani kiuchumi aliyo kuwa anaitumia vibaya....sasa hivi marekani kashikwa pabaya sana
 
Sasa kuna nchi yenye demokrais duniani kama marekani. Umeshawahi ona rais kinganganizi madarakani? Umeshawahi ona rais ni final katika maamuzi ya nchi huko marekani? Umeshawahi ona bunge linawekwa mfukoni na rais kama huku kwetu ambapo bunge halina kazi kabisa ni rubber stamp ya serikali walu kipindi hiki afadhari kidogo
Kwenu ndio wapi mtajijua wenyewe na huko kwenu

Marekani hakuna demokrasia kama ingekuepo mawazo ya wengi ambao ni wananchi yangeheshimiwa kwanza kwenye kuchagua rais

Ila kama mawazo ya watu zaidi ya 150M yanachezewa na watu wasiozidi 1000 huko demokrasia hakuna zaidi ya kiini macho
 
Hujajibu swali

Kama wizi marekani anajibebea tu mafuta pale Syria

Kwa utajiri huu bora nife maskini
Mi nazungzia demokrasia Yao ya ndani halafu unakuja na nhonjera za Syria. Sasa wizi wa wa resources kutoka katika nchi zilizozubaa si credit kwa demokrasia Yao. Sisi hatuwezi kuiba kwa sababu hatuelewani kila mtu anaangalia maslahi yake na famili yake hakuna mwenye u hungu na nchi hata rais mwenyewe. Lakini wenzetu wanaangalia nchi kwanza ndo mana wansiba ili kuzinifaisha nchi zao
 
Demokrasia ni inaweza kuwa kichocheo cha maendeleo lakini, ieleweke kuwa kuwa na demokrasia sio kigezo pekee cha maendeleo. Bali raslimali, dira ya taifa, mikakati madhubuti, viongozi wenye maono na wenye kusimamia vyema utekelezaji wa sera za taifa(siyo wale wenye kupiga dili katika kila mradi wa serikali pamoja na kukwapua fedha za umma na kwenda kuzificha nje, badala ya kuziwekeza ndani na kukuza mitaji ya taasisi za ndani), uwekezaji mzuri katika elimu ili kuleta tafti na gunduzi na teknolojia zenye tija kitaifa na kimataifa.

Ugiriki Ni nchi yenye demokrasia sana, lakini Ni miongoni mwa nchi zilizokuwa na mzigo wa madeni hadi kufikia kushindwa kujiendesha.

Singapore iliyokuwa maskini lakini ilikuja kuwa nchi tajiri na kupiga hatua chini ya kiongozi wake Lee Kuan Yew aliyeitawala kwa muda mrefu na kwa ushupavu Katika kile kilichoitwa udikiteta. Lakini akaiwezesha kuitoa nchi katika lindi la umaskini.
 
Wewe jamaa unachekeshaa ko unataka kusemaa Biden ni dikteta wakatii hana hta uhakika wa kushinda uchaguzii kwa muhula mwingine,,,Trump alikuwa dikteta akashindwa kuendelea kuwa Rais kwa muhula mwingine Sasa udikteta huo ni wa Nini wakati yeye mwenyewe au chama chake hakina uwezo wa kuendelea kubaki madarakanii
Ni juha wa kidini huyo
 
Sijui kwanini cho za Afrika au za Asia hazijifunzi kwa marekani wakawa na demokrasia. Hivi kwa mfano Kim jong UN, Putin nk wakifa lazima nchizi zao zitingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe mana mtu mmoja ndo mwamuzi wa mwisho tofauti na marekani ambapo hata Rais siyo final.

Nchi za Afrika kama Rwanda, Uganda nk nao Marais wao wakifa vita ya wenyewe kwa wenyewe haiepukiki mana all powers are vested on one person.

Marekani haiwi shakeni na yeyote kw asababu misingi ya demokrasia ni mikubwa sana kiasi ambacho haideal na trivial issues kama eti kumtukana rais sijui Nini eti polisi akimbizane na wewe kisa umemtukana rais.

Chi zetu hizi hata ukiandika mtandaoni tu kwamba rais ni mpumbavu unakamatwa na ama kuuawa au kupotezwa kama Ben saanane kipindi Cha jpm. Museven au kagame wanaua hadharani kabisa watu wao. Huu ni ujinga wa hizi ngozi zetu na kamwe tutasindikiza wenye akili. Ndo mana hata papa alipoend marekani alisema " The nation of the brains"
Ukitoa hiyo dollars inayotumika dunia nzima hao marekani wanakipi cha ziada kwa sasa kwa dunia ya sasa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom