Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Ngoja wawazuie tu. Hakuna namna. Lissu akipeleka watoto wake mnalalamika eti ana watoto kwa mabeberu! Wawazuie si tu kwa covid-19, bali kuzima demokrasia na kushindwa kuandamana baada ya CCM kuiba uchaguzi kupitia kura za kwenye mabegi.
Mnahangaika kwenda Marekani kulikojaa corona ili mtuletee na sisi hapa TZ. Hebu tulieni kwenu.
 
Asanteni rafiki zetu wazungu kwa hizi spana!
 
Magufuli anaipeleka nchi pabaya huku wajinga wakimshangilia. Ona hili onyo limetolewa leo. Nasikia kuna mmarekani amefarika kwa covid huko Zenji wiki iliyopita ndiyo maana wakatilia mkazo.

Sasa ulitaka Rais Magufuli afanye nini? Kwani wakenya wameanza leo kusema TZ kuna corona? Kwa hiyo kama kuna corona tulale majumbani kwetu. Halafu lini wewe umemsifia Rais Magufuli kwenye issue ya Corona?? Peleka Ukenya wako huko!! Hangaika na Kunyaland yako.
 
Back
Top Bottom