Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Huyu jamaa msanii sana. Kwanza watz hawapewi visa ya 5-year. Juzi nimerenew visa na mbona hawakunikatalia? Ingawa visa zimepigwa ban, ila kuna namna unafanya unakwenda kwenye interview kama kawaida.
Usidanganye. Viza hazitolewi kwa sasa except on emergency only.

Pili kuna business people na senior officials wanapata 5 years.
 
Kutopendwa kwingine tunakutafuta wenyewe.Wanakulitafuta wanakulipata .Hivyo tuwewapole
Tutulie Wakati Syringe Inachomwa Kwenye T*k*
Vinginevyo Itakatikia Humo Tupate Kilema!!!
😁😂😅😃😃😂😂🤣🤣
Mabeberu Yatatuuwa Mapema Haya
 
Ili hali ya hewa iwe mzuri ni lazima hili jitu linalotawala kishenzi liondoke.
 
sasa unataka kulazimisha kwamba tuna covid au? hatuna covid na ndo ukweli na tuliwachallenge kwan uongo?
Mimi nashindwa kuelewa. Inaingiaje akilini kwamba corona imetokomea kwa maombi lakini kansa, kisukari, ukimwi na magonjwa mengi hatari bado yapo. Kwa nini maombi yasiwe extended kutokomeza magonjwa yote na ifike wakati bajeti ya afya isiwepo na hata hospitali zisiendelee kujengwa.
Ina Mungu kaona tu korona ndiyo hatari na magonjwa mengine yaendelee?
Halafu kama corona haipo tunaogopa nini kupima ili kuuthibitishia ulimwengu jambo hili?
Naona hapa ni akili za kuambiwa... Kama si ujinga
 
Mimi naona hapa tatizo ni kutotii world order. Maana ni kweli Tanzania corona haijatusumbua kihivyo, lakini pia hao watu wanaotuzuia kuingia kwao mbona ndio wenye vifaa vya kila aina vya kupimia?
Wanajaribu tu kutuma ujumbe kuwa hawapendi dharau.
Ni kweli; ndiyo maana ya ubeberu huo. Dems wakishachukua madaraka, mambo yatageuka kidogo. Clinton anajua kufanya kazi na nchi za kiafrika, anajua kuwa hazitaki kusukumwa na nadhani atamshauri Biden namna ya kushughulika nazo. Clinton ana miradi kadhaa ya huduma za jamii Tanzania
 
Hata EU wamewanyima raia wake visa za kuja huku isipokua pale penye ulazima tuu

Na hao raia wanaumia sana lakini hawaingii kwenye mitandao na kuanza kuwashambulia viongozi wao sababu kwao kanuni ni uzalendo kwanza.

Ila ukiongea nao mmojammoja kirafiki wanakuambia hii ni vita ya uchumi inayolenga kudidimiza uchumi wa watu na kupunguza idadi ya watu duniani. Na wanaumia sana

Wanasema Tanzania ni taifa pekee lililokataa kuingia kwenye huu mtego sababu tuu rais wetu John Pombe Joseph Magufuli ni rais wa watanzania.
 
Issue ni kwamba tulichukua pesa zao kwa ajili ya kudhibit covid,at the same time tunautangazia ulimwengu kuwa hatuna covid.

pesa za covid nazkumbuka vizuri tu, pesa zmekuja kipindi bado kuna vuguvugu la corona! ilikua sio assured kama saahv, sasa covid imeisha unataka pesa zako, huo sio msaaada ni insult: hivi wewe unaweza enda toa msaada kituo cha watoto yatima alafu watoto hao watoke kimaisha uje kuuliza tena pesa zako zmetumika vp??? we are tired wabaki na pesa zao
 
Back
Top Bottom