Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Sheria ya uhamiaji ya US inasema kuwa na visa siyo guarantee ya kuruhusiwa kuingia US always. Ni kigezo tu. Mwisho ni mtu aliyeko ktk desk anaamua kukuruhusu ama la.
 
While having a visa does not guarantee entry to the United States, it does indicate a consular officer at a U.S. Embassy or Consulate abroad has determined you are eligible to seek entry for that specific purpose. DHS/CBP inspectors, guardians of the nation’s borders, are responsible for admission of travelers to the United States, for a specified status and period of time. Source: www.travel.state.gov
 
Wanabodi,

Nina Ndugu ambaye yuko serikalini (Paspoti ya Utumishi) na alikuwa na VISA ya miaka 5 ya kuingia Marekani. Wiki iliyopita pamoja na Mkewe waliondoka kwenda Marekani kuwaona watoto wao wanaosoma kule, lakini bahati mbaya pamoja na watanzania wengine wawili, wakiwa uwanja wa Chicago, walizuiliwa kuingia nchini humo kutokana na matatizo ya COVID-19.

Na hata walipofika Holland, walilazimika kupimwa kabla ya kupanda ndege ya kwenda Marekani wakidai Tanzania haishirikiani na WHO.

Aliloambiwa ni kwamba wanaoruhusiwa kuingia ni Diplomats tu na pia kwa masharti. Hawaruhusu wenye VISA za kawaida kutoka Tanzania kuingia. Sina hakika ni kwa watanzania tu au pia mataifa mengine nao wanaathirika na hili janga?

Nadhani kwetu raia wa kawaida wenye VISA, tusipoteze hela zebu kwa kujaribisha. Tusubirie hadi hali ile sawa maana gharama kwenda Marekani siyo kidogo matokeo yake turudishwe Eapoti !
Ni lazima uwe na cheti cha kupima COVD 19 halafu na wenyewe wanaweza kukupima tena. Utaruhusiwa tu
 
Kuna visa inaitwa multiple entry, unaweza hata kupewa ya miaka 5
Hakuna visa inaitwa multiple entry, ila kuna Business or Tourism, Work, Student, Transit, etc. Entry ni kwamba visa inakuruhusu kuingia mara ngapi? Either single entry or multiple entry. Mostly, kwa Tanzanian ni multiple entry. So you can visit there as much as you can for a specified period mpaka mwisho wa matumizi. Na pia unatakiwa kukaa kwa muda wa miezi kadhaa then utoke na urudi tena.
 
Sheria ya uhamiaji ya US inasema kuwa na visa siyo guarantee ya kuruhusiwa kuingia US always. Ni kigezo tu. Mwisho ni mtu aliyeko ktk desk anaamua kukuruhusu ama la.
Ipo hivyo. Kama wakiona hueleweki kwenye kujibu maswali unarudishwa right away.
 
Mimi naona hapa tatizo ni kutotii world order. Maana ni kweli Tanzania corona haijatusumbua kihivyo, lakini pia hao watu wanaotuzuia kuingia kwao mbona ndio wenye vifaa vya kila aina vya kupimia?
Wanajaribu tu kutuma ujumbe kuwa hawapendi dharau.
Wewe ndiyo umeelewa chanzo cha tatizo.
Magufuli kwa jinsi alivyo shughulika na Corona amejaribu kupingana na wadau wa New World Order.
Ameharibu biashara yao hivyo wanaturudisha kwenye himaya yao kilazima.
 
Eti Corona imemalizwa kwa maombi sasa wanashindwa nini kuomba uchumi uimarike? This is very stupid.
 
Kosa walilofanya ni kupitia Ulaya. Kuna covid 19 travel restriction kwa nchi za Schengen area na UK. Wasafiri wote waliopita huko wanatakiwa wakae 14 days nje ya hizo nchi kabla ya kuingia US.

So sidhani kama hilo zuio ni kwa Watanzania wote.
 
Hata EU wamewanyima raia wake visa za kuja huku isipokua pale penye ulazima tuu

Na hao raia wanaumia sana lakini hawaingii kwenye mitandao na kuanza kuwashambulia viongozi wao sababu kwao kanuni ni uzalendo kwanza.

Ila ukiongea nao mmojammoja kirafiki wanakuambia hii ni vita ya uchumi inayolenga kudidimiza uchumi wa watu na kupunguza idadi ya watu duniani. Na wanaumia sana

Wanasema Tanzania ni taifa pekee lililokataa kuingia kwenye huu mtego sababu tuu rais wetu John Pombe Joseph Magufuli ni rais wa watanzania.
Haya ni mawazo ya mtu aliyeruhusu akili zake zifanye kazi....na sio mihemko.....
 
wewe umetoa pesa kwa ajili ya covid na covid imeisha sasa shida yako iko wap? we unataka kisa umetupa pesa zako ndo ulazimishe hata kama hamna covid
"Hamna COVID-19" kwa vile tu umetamka?
Ulipewa pesa upime, umegoma kupima na kutoa majibu, rudisha pesa.
 
Mara ya mwisho kuona mtu ama kusikia mtu kafa kwa corona ni lini? Je wewe unavaa barakoa. Usitletee upumbavu hapa mkuu. Hii ni vita ya uchumi hivo tulitegemea haya mapemaaaaaa na hatushangai. Jemedari wetu JPM piga kazi, nasema pigggga kazzzziiiii. Wewe unaweza hatuna mbadala wako
Wewe huoni kuwa wewe ndiye mpumbavu kabisa?

Huko kujitangaza kutokuwepo COVID-19 hukuelewa maana yake? Hao watalii mliokuwa mnawahadaa unadhani hawana akili kama wewe hapo?

Upumbavu ni kujitangaza kwamba hakuna ugonjwa ili watalii waweze kuja kwa wingi hapa. Unaacha taratibu zote za kupima na kujua watu wako wanaathirika vipi, ili mradi tu upate watalii? Hiyo vita ya kiuchumi unayo ubavu wewe wakiitangaza dhidi yako? Hopeless.
 
Wakituzuia tupige kelele tuseme kwa pamoja " mitano tena"
 
Back
Top Bottom