Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Kwani US si walijitoa WHO sasa wanasemaje tena TZ haifati maelekezo ya taasisi ambayo wao wamejiengua na kuvunja mashirikiano.
Muwe mnasoma na kuelewa. Ni lini US ilijiondoa WHO. US walipunguza mchango wao kwa WHO, na siyo kujitoa.
 
Issue ni kwamba tulichukua pesa zao kwa ajili ya kudhibit covid,at the same time tunautangazia ulimwengu kuwa hatuna covid.

wewe umetoa pesa kwa ajili ya covid na covid imeisha sasa shida yako iko wap? we unataka kisa umetupa pesa zako ndo ulazimishe hata kama hamna covid
 
Huyu jamaa msanii sana. Kwanza watz hawapewi visa ya 5-year. Juzi nimerenew visa na mbona hawakunikatalia? Ingawa visa zimepigwa ban, ila kuna namna unafanya unakwenda kwenye interview kama kawaida.
Juzi tu kuna jamaa namjua karuka hapo dar kwenda usa,na leo nimeongea nae yuko zake PA anajibebea box lake
 
Usidanganye. Viza hazitolewi kwa sasa except on emergency only.

Pili kuna business people na senior officials wanapata 5 years.
Umesoma nilichoandika au unakurupuka tu. Visa nimepata na sina emergency yoyote. Na wewe lete evidence ya visa ya miaka 5 kwa Watanzania.
20201202_122428.jpg
 
Mara ya mwisho Wizara ya Afya kutangaza data za maambukizi ya Covid-19 ni lini?
 
Tatizo USA hawaamini kuwa Covid 19 ni kama mzimu dawa yake ni kukemewa
 
Mnang'ang'ania huko ni kwenu,, mnaacha kwenda kwenu huko Tunduru
 
Iko hivi

1. Kuna baadhi ya Ndege za Kimataifa zinamtaka msafiri wa kutoka Nchi yeyote kuonesha cheti kuwa amepima covid na kupata majibu Negative kabla ya kuingia kwenye Ndege

2. Kuna Nchi nyingi za Ulaya na marekani, wanamtaka mtu yeyote anayeingia Nchini humo kuonesha cheti cha kuthibitisha kuwa amepima Korona na kuthibitika kuwa hana kabla ya kuanza safari

Angalizo; kwa anayetegemea kusafiri kwenda Nje ya Nchi ni lazima atafute taarifa sahihi za Ngege anayotumia na Nchi anayokwenda kabla ya kuondoka Nyumbani
 
Na hapo ndipo wasafiri from bongoland msoto utakapopatikana.

Na tukifanya mchezo wa ku-issue certificate feki za Corona pia shughuli itakua pevu,juzi wakenya wamepigwa ban kuingia UAE baada ya kugundulika wanapewa certificate feki kutoka huko kwao.
 
https://www.cdc.gov/coronavirus/2019-ncov/travelers/map-and-travel-notices.htmlmkuu hiyo ni kwa nchi nyingi ikiwemo hata hao wakenya,cdc wametoa muongozo wa kuingia america kipindi hata kenya ikiwemo,sasa huyo mwandishi wa kenya kaanzisha kimakala chake ya kuwa ni sisi tu while si kweli,kwani hata kenya imetajwa,sie kwa kukosa uzalendo tunasapoti uongo wa mkenya!
 
Juzi tu kuna jamaa namjua karuka hapo dar kwenda usa,na leo nimeongea nae yuko zake PA anajibebea box lake
Kawaida tu mbona. Wabongo wanawatisha tu wengine. Ingekuwa ni kuzuiwa hata airline hawawezi kukuruhusu ku board kama huna required criterion.
 
Kwa taarifa yako: Siyo wakenya wamesema. Ni wamarekani. Najua english ni tatizo lako. Pole sana. Mwombe mtu akutafsirie. Sijasema watu walale nyumbani tu. Nchi inatakiwa kuwa wazi kwenye takwimu.
Hopeless unafikiri nilipotaja Wakenya ukafikiri ndiyo wamesema? Wao ndiyo wameivalia njuga kama wewe Mkenya unayejifanya Mtanzania. Kwanini hupendi nchi yako ya Kenya mkuu??
 
https://www.cdc.gov/coronavirus/2019-ncov/travelers/map-and-travel-notices.html watu wanasapoti uongo wa mkenya while wakenya roho inawauma wao kukaa lockdown halafu sie atujakaa na bado tuko kwenye level moja,huo ndio muongozo cdc kenya ikiwemo,lkn mwandishi wa kenya kaiweka Tanzania pekee kwa chuki zake tu,na kuna watu wanamsapoti!wabongo alieturoga kafa
Kweli bro. Kwanza watz hatupewi non-immigrant visa ya 5 years. Katika nchi za EA ni Kenya na Uganda ndio wanapata visa ya 5 years kama inyoonekana kwenye ramani hapa chini.
Screenshot_20201202-122115_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom