Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Na hapo ndipo wasafiri from bongoland msoto utakapopatikana.

Na tukifanya mchezo wa ku-issue certificate feki za Corona pia shughuli itakua pevu,juzi wakenya wamepigwa ban kuingia UAE baada ya kugundulika wanapewa certificate feki kutoka huko kwao.
Mwenyekiti heshima yako.

Hiyo ni kweli kabisa. Na kama ni US kuna majimbo wanahitaji certificate mengine hawahitaji.
 
This election is a tremendous fraud.
Millions of votes were brought in boxes from Vehicles with a Vote for biden Poster.

Sent using Jamii Forums mobile app
What is wrong with you. Even Bill Barr, ambaye ni mwanasheria mkuu wa marekani. Ambaye aliteuliwa na trump. Amepinga hilo. Ww ni mshamba usiyemjua D Trump. Wala American policies. That is why I said it would have been better just to be quiet.
 
Kama kawaida yenu, mko busy kutafuta namna ya kuanzisha maada ambazo zitasaidia kuwapunguzia mawazo katika safari hii ndefu kuelekea 2025.
 
Kwa taarifa yako: Siyo wakenya wamesema. Ni wamarekani. Najua english ni tatizo lako. Pole sana. Mwombe mtu akutafsirie. Sijasema watu walale nyumbani tu. Nchi inatakiwa kuwa wazi kwenye takwimu.
Orodha ya nchi zilizo kwenye Level 4 kwa mujibu wa CDC ni nyingi tu ikiwemo Kenya yenyewe lakini hawa Wakenya wameiweka Tanzania tu as if ndiyo ipo kwenye Level 4 na wewe Mkenya unashangilia. Hebu angalia kwenye website ya CDC hii hapa chini uone ni nchi ngapi ziko kwenye Level 4 ikiwemo Kunyaland yako (Kenya).
 
Mimi nashindwa kuelewa. Inaingiaje akilini kwamba corona imetokomea kwa maombi lakini kansa, kisukari, ukimwi na magonjwa mengi hatari bado yapo. Kwa nini maombi yasiwe extended kutokomeza magonjwa yote na ifike wakati bajeti ya afya isiwepo na hata hospitali zisiendelee kujengwa..
Kama huamini kua hapa corona ipo?, Wewe hapo ulipo una corona?,wewe na Jirani yako mmevaa barakoa?,Mnazingatia umbali kati ya mtu na mtu mbona tupo hatufi?
 
What is wrong with you. Even Bill Barr, ambaye ni mwanasheria mkuu wa marekani. Ambaye aliteuliwa na trump. Amepinga hilo. Ww ni mshamba usiyemjua D Trump. Wala American policies. That is why I said it would have been better just to be quiet.
Mkuu try to understand humor.
Nani anayependa kutumia neno tremendous?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁😂😅😄😃😃😁😂🤣🤣😄😃😃😄😄
Mkuu nahisi unaishi nchi mojawapo ya watu wenye furaha, kama ni kweli Hongera

Maana Bongo Tz furaha ilishatoweka,sana sana kuna vicheko bandia na mapambio kwa bwanayule.
 
Kama ni kweli, basi Marekani wanafurahisha sana. Yaani wagonjwa wa corona wanakuambia usije kwetu utatuletea corona?
 
Kwani Marekani wamesharudisha uhusiano na WHO?? Si walisema hawashirikiani na dabli yu ech oo kupitia rais wao mstaafu mtarajiwa??
 
Hakuna cha kusuburi, Marekani hatutopokea RAIA kutoka Tanzania, hatujitambui tunajiamulia mambo kienyeji tu, tuliwaona wenzetu waliofuata masharti ya kiafya ya WHO ni wajinga, sasa tutabeba gharama za ujinga wetu
 
Ngoja wawazuie tu. Hakuna namna. Lissu akipeleka watoto wake mnalalamika eti ana watoto kwa mabeberu! Wawazuie si tu kwa covid-19, bali kuzima demokrasia na kushindwa kuandamana baada ya CCM kuiba uchaguzi kupitia kura za kwenye mabegi.
Hahahaaa haha, marekani hakuna biashara za wajasiliaali,

huko wanaoenda ni wale wanaoenda kuponda raha, hivyo ni Bora wazuiwe kwa kuwa wanasaidia watu kupunguza matumizi yao na kuzifanyia Jambo la maana hizo pesa.
 
Siyo Marekani, hata Zimbabwe na Zambia tu hapa kwa mdikteta wenzie huingii kirahisi
 
Yule waziri wa kutoa mimacho ameiona hii, anajifanya jasili sana, wakati akitaka kujihuzuru kwa wazungu wa barrick!
 
Back
Top Bottom