Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,858
- 14,733
Mwenyekiti heshima yako.Na hapo ndipo wasafiri from bongoland msoto utakapopatikana.
Na tukifanya mchezo wa ku-issue certificate feki za Corona pia shughuli itakua pevu,juzi wakenya wamepigwa ban kuingia UAE baada ya kugundulika wanapewa certificate feki kutoka huko kwao.
Hiyo ni kweli kabisa. Na kama ni US kuna majimbo wanahitaji certificate mengine hawahitaji.