Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

Ngoja wawazuie tu. Hakuna namna. Lissu akipeleka watoto wake mnalalamika eti ana watoto kwa mabeberu! Wawazuie si tu kwa covid-19, bali kuzima demokrasia na kushindwa kuandamana baada ya CCM kuiba uchaguzi kupitia kura za kwenye mabegi.
Mnahangaika kwenda Marekani kulikojaa corona ili mtuletee na sisi hapa TZ. Hebu tulieni kwenu.
 
Asanteni rafiki zetu wazungu kwa hizi spana!
 
Sasa ulitaka Rais Magufuli afanye nini? Kwani wakenya wameanza leo kusema TZ kuna corona? Kwa hiyo kama kuna corona tulale majumbani kwetu. Halafu lini wewe umemsifia Rais Magufuli kwenye issue ya Corona?? Peleka Ukenya wako huko!! Hangaika na Kunyaland yako.
 
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚
Eti Tutawauzia Mitumba Baada Sisi Kuivaa
Kiuhalisi, tunarudi kwenye zama za kuvaa magome ya miti na nguo za ngozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…