Hawa ni devil incarnates, waliitungua kimakosa, wakaanza kusingizia vitu vya uongo, mara ngede ilikuwa na shida, mara black box imeharibika. Wakati huo Mmarekani kasema kwa ushahidi wa Salelite ndege ilipigwa makombora mawili, pressure ilivyozidi muajemi hakuna namna basi kakubali lakini akijijitetea hii ilitokana na tension iliyosababishwa na USA. Hii inatoa picha kuwa kama Tehran ambapo ndio centre ya intelligence na vifaa vya kijeshi , hawawezi kutofautisha kati ya ndege ya kivita na ndege ya abiria iliyotokea hapo hapo Tehran basi kuna shida kubwa ipo somewhere.
Sent using
Jamii Forums mobile app