Marekani: Iran imehusika kuangusha ndege ya Ukraine

Marekani: Iran imehusika kuangusha ndege ya Ukraine

Ulitarajia USA na UK wasemeje? Kwamba ndege za boeng ni mbovu?

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu shida vijana wetu wanashindwa ng'amua vitu vidogo kama ivo ani mtu anashindwa shirikisha akili yake anaacha makalio yafanye maamuzi ,ani ao ni us na vibaraka wake maana cia na fbi zinabidilishana taarifu katika nchi izo
Wakisema boeng ni mbovu wataharibu biashara yao ya mauaji OVA
 
Hata mimi nafikiria hivyo. Too sad. Watu wasio na kosa lolote wamekufa. Iran lazima ahide hii. Maana kishasema black boxes zimeharibika. I believe this in not true. Iam strongly conviced that,the plane was hit by one of the Missiles.

Hivi inaingia akilini kwamba, ballistic missiles fired from Iran to hit American airbases in Iraq can suddenly change course in midair - zig zaged in Iranian airspace looking for unsignificant Ukranian Boeing 737 whose safety track records are highly questionable nowaday; wanamdanganya nani?

Kukurupuka kwa Trump maji yamekwisha mfika shingoni asianze kuwasingizia watu, Iran ingefahidika kivipi kwa kutungua ndege ya Ukraine - nani kawambieni Iran ina bifu na utawala wa Ukraine - leo nilimsikia Rais wa Ukraine akisema accident alisababishwa na masuala ya kiufundi na sio ugaidi au hujuma - baadae Uncle SAM kaigeuzia kibao Iran kwamba inahusika kwa kuangusha ndege ya Ukraine,

wanafikiri watu ni wajinga hawana uwezo wa kuanalyse kilicho tokea - ndege yenyewe ilipata tatizo wakati inaanza kupaa hadly 800 feet above ground, Ballistic missiles urushwa skywise sio kwenye surface hivyo madai ya Merikani kwamba ndege ilipigwa na B.Missiles ya Iran kwa bahati mbaya huo ni propaganda/upuuzi mtupu wenye lengo kuichafua Iran Kimataifa na wala siamini kama USA ndio ilihusika kutungua ndege ya Ukraine ili wajenge hoja kwa Mataifa kuilahumu Iran,

Tukumbuke kwamba airspace ya Iran hiko impregnable hakuna Ndege, drones na missiles zinaweza kukatiza anga la Iran bila ya kutunguliwa na a formidable Iranian integrated Air defense Systems, kumbuka mwaka jana Iran ilivyo tungua one of the most sophisticated USA Drones, Iran si Taifa la kuchukuliwa kimzaa mzaa hata kidogo.
 
Nilijua tu.iran msikabidhi hicho kibox cheusi kwa Boeing mtaambiwa mliweka mabomu.siasa hizi leo marekani wanacheza level moja na ccm. Time flies
😂😂😂kabisa mkuu na wala asijichanganye kuwapa vibaraka wake atajuta maana data zitapikwa tu
 
Iran ni taifa hatari sana, full wasiwasi, makampuni ya usafiri wa anga yaepuke hilo taifa kabisa. Ni vyema Marekani walituma ujumbe kwamba wanaweza kufanya chochote ikiwemo kupiga mabomu majenerali wa Iran, japo Iran walijibu kwa uwoga wakapiga makontena mabomu, na kudai wameua Wamarekani 80, ni kama hao Wamarekani hawana familia yaani iwe rahisi kuficha vifo vyao.
  • Ukraine International Airlines Flight 752 crashed outside of Tehran on Wednesday, killing all 176 on board
  • Footage emerged on Thursday which appears to show a missile hitting the jet before it went down
  • US intelligence are 'confident' the airliner was shot down by Iran after detecting two missile launches
  • Pentagon officials said missiles likely fired in error by crews on alert for US response to Iran rocket strike
  • Iran claims that the crash was the result of mechanical error and that black box may have been 'damaged'
  • President Trump said: 'Somebody could have made a mistake. I have a feeling something terrible happened'
  • Canadian Prime Minister Justin Trudeau later echoed Trump's concerns, saying that evidence indicates an Iranian missile downed the and that the strike 'may have been unintentional'
  • The plane was carrying 82 Iranians, 63 Canadians, three Britons, 11 Ukrainians, 10 Swedes, four Afghans and three Germans


https://videos.dailymail.co.uk/prev...116057024/636x382_MP4_8141392055116057024.mp4

 
Bukyanagandi,
Mimi pia bado sijaamini kama kuna missiles zilitumika kuangusha hiyo ndege. Ila inawezekana hata US ilitia mkono kwenye kusababisha huo msururu wa technical failures zilizotokea.. Nobody knows! Let me wait for their 'final report'.
 
Sasaivi Iran inaonekana chungu sana aiseee kwa mataifa ya magharibi, Umoja wao ndio ulipowafikisha apa, hongera sana Iran kwa ujasiri uliouonesha, hapa nimejifunza ktk maisha apana kukata tamaa licha ya changamoto unazopitia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona akili zinawarudi baada ya kichapo BREAKING: The House passed a war powers resolution that limits President Trump's ability to wage war in Iran. It blocks U.S. military force against Iran without Congress's approval or declaration of war. AJ+ on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeskia Iraq anataka kununua S-300 sasaiv
Screenshot_20200109_232844_com.codeofzero.shabbir.presstvnewsapp.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasaivi Iran inaonekana chungu sana aiseee kwa mataifa ya magharibi, Umoja wao ndio ulipowafikisha apa, hongera sana Iran kwa ujasiri uliouonesha, hapa nimejifunza ktk maisha apana kukata tamaa licha ya changamoto unazopitia

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnachekesha, yaani majenerali wako wapigwe mabomu halafu ujibu kwa kupiga makontena kisha uanze kujisifu kwamba wewe ni noma.
Mlipaswa kulipa damu kwa damu ndio muonekane wachungu, bora hata mngeua mjeda mmoja hata kama mpishi au mbeba mabox kambini.
 
Ata Iraq kipindi wanavima hukuskia ata askari mmoja wa Marekani akifa wakati kuna maelfu wa majeshi wa Marekani wamepoteza maisha na wengi wao hawana viungo, sasa utawezaje kuamini ya juzi, yaani unaimani kuwa majeshi ya US hawafi [emoji23], mnadanganywa na movie za marekani na Vietnam aiseeee
Mnachekesha, yaani majenerali wako wapigwe mabomu halafu ujibu kwa kupiga makontena kisha uanze kujisifu kwamba wewe ni noma.
Mlipaswa kulipa damu kwa damu ndio muonekane wachungu, bora hata mngeua mjeda mmoja hata kama mpishi au mbeba mabox kambini.
Miongoni mwa njama za kivita ni kuficha siri za kuuwawa kwa wanajeshi, Tramp hawezi kutangaza madhara coz alijipeleka bila idhini ya bunge kwa pamoja so angetangaza kama kafa askari ata mmoja basi angepoteza ushawishi wake
IMG_20200105_181521.jpeg
IMG_20200103_112621.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MPYA: Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema taarifa zao za kiintelijensia zinaonyesha kuwa Ndege iliyoanguka juzi ndhini Irani na kuua watu 176 wakiwemo raia 63 wa Canada ilitunguliwa na Iran

> Rais Trump pia amedai ana wasiwasi na chanzo cha ajali hiyo
Uenda walifikiri ni ndege ya adui, kwa kuwa ni siku ya kulipiza kisasi, ila wakubali tu na waelewane, ni bahati mbaya na jambo geni!
 
Back
Top Bottom