Kwa upande wangu ninacho kihisi ni hichi..
A Military Sacrifice :
US huwa ina tabia ya kuweka insiders in every potential angle in this world. So US tayari walikuwa na taarifa kamili ya tukio husika kabla ya tukio lenyewe kutokea. Sasa basi, walichoamua kukifanya ni kumuacha Iran afanye retaliation ambayo dunia nzima itaitambua.
while wao(US) wakii-mask retaliation yao ambayo ni kuipiga boeing 737 - 800 ndege ambayo walijua fika kuwa ina wa Iran wa kutosha pamoja na 'raia wa mataifa mengine' ili kumtengenezea Iran maadui. Na hiyo retaliation waliipanga kwa picha ambayo itakuwa na uhusiano wa moja kwa moja na retaliation ya adui wao(Iran),na final conlusion ikiwa ni kumrushia shutuma Iran ili aonekane ruthless in every aspect.
Ni mtazamo tu! Wapinzani msijenge chuki.. 😊