Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Black box haiharibiki kirahisi Kama unavyodhani.ipo na Iran wanayo lakini hawataikabidhi Boeing USA kwa uchunguzi kufanya hivyo nisawa na kumkabidhi fisi bucha.
Iran walisema Black boxes zimeharibika. Ila according to radar ni kama ndenge ilitaka kurudi uwanjani. Though Captains hawakuma msg yoyote.