Marekani: Iran imehusika kuangusha ndege ya Ukraine

Marekani: Iran imehusika kuangusha ndege ya Ukraine

Yah hili ndio lakuangalia ila sidhanii kama kuna any missile ilo hit hio ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
Believe me hii ndege ilikuwa hit by missile,ila sema kwa bahat mbaya. Iran wanajua sema wanahide.Hata wao wanajuta mioyoni mwao. I think it is time Iran waseme Sorry kwa raia waliokufa.
 
Kwanza MKUU Uache Kukurupuka Hakuna Anaejibu Kwa Ushabiki Labda Ushabiki Ulete Wewe Watu Tulikua Tuna eleweshana

Hao walosema kama imeripuliwa walijuaje wakati hitimisho juu ya hilo jambo bado halijajulikanika ?!.

Kwan Unahisi Ndege Za Kijeshi Na Zakirai Hazijulikaniki Kama Wameiripua Kwa Makusudi Wameiripua 2 Ila Sio Kwasababu Eti Hawakujua Kama Yakiraia Ama Sio Yakiraia
Someni kwa makini habari yenyewe ndio mje kutoa maoni, sio mnaleta ushabiki kila sehemu, inasemekana ndege ilidondoshwa kwa bahati mbaya na makombora ya ulinzi wakizani ni ndege ya kivita au drones za marekani, sio kwa kwa makombora yaliyokuwa yanashambulia kambi za Marekani Iraq

Sent using Jamii Forums mobile app
........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Canada imesema ushahidi wote umeonyesha ndege iliyotoka Ukraine imedunguliwa na Iran,

Kwa kisingizioo au ukweli Iran poleni ,Iraq ilikuwa na nguvu kuliko nye,nahurumia sana Iran,hii kikombe ni zaidi ya uwezo wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Believe me hii ndege ilikuwa hit by missile,ila sema kwa bahat mbaya. Iran wanajua sema wanahide.Hata wao wanajuta mioyoni mwao. I think it is time Iran waseme Sorry kwa raia waliokufa.
Watu wata fnya uchunguzi na ukweli naamini utapatikana

Ila kwa nn US Kakimbilia Kusema Kama Imepigwa wakat Huo Huo UKRAINE Wao Wanaswma Kinyume Chake Na IRAN Wako Tayari UKRAINE Washirikishwe Kwa Uchunguzi Ila Sio US Hujui Ama Huhisi Hapa Kama IRAN Ana wasi Wasi Na US ?!.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BREAKING NEWS

Iran dismisses reports of Ukrainian plane being hit by missiles
 
Ww na hao Canada nyoote ni vibaraka wa US, watu wanapiga hela kwa kampuni zao(boeng) ili zisionekane kama ni mbovu nyinyi mnakuja kuilamu Iran
Canada imesema ushahidi wote umeonyesha ndege iliyotoka Ukraine imedunguliwa na Iran,

Kwa kisingizioo au ukweli Iran poleni ,Iraq ilikuwa na nguvu kuliko nye,nahurumia sana Iran,hii kikombe ni zaidi ya uwezo wenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Canada imesema ushahidi wote umeonyesha ndege iliyotoka Ukraine imedunguliwa na Iran,

Kwa kisingizioo au ukweli Iran poleni ,Iraq ilikuwa na nguvu kuliko nye,nahurumia sana Iran,hii kikombe ni zaidi ya uwezo wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
citing & documenting sources may seem like busywork.

P'se acknowledge the source at the end of your piece.

Canada imesema... ni maneno ya kijiweni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BREAKING NEWS

Iran dismisses reports of Ukrainian plane being hit by missiles
 
Ajali kazini. Bahati mbaya kombora lilikutana na Ndege ya abiria. Too sad. Iran watakuwa wanasikitika sana. Sema hawatakubali hadharani kutokana na kumaintain credibility yao. Kama yaliyotokea kwa Malaysia airlines. Iliyotunguliwa na Ukrain waasi walio pro Russia.
 
Marekani bwana.yani wameweza kuchunguza ndege ila wameshindwa kugundua kuwa watashambuliwa. Only kids would buy this!!
 
Back
Top Bottom