Marekani: Iran imehusika kuangusha ndege ya Ukraine

Marekani: Iran imehusika kuangusha ndege ya Ukraine

Naona walita blackbox hawakupewa sasa wanahangaika. Boing wanaombaje black box wakati USA wamewawekea vikwazo iran karibia kampuni zote za USA hazitakiwi kufanya kazi na iran. sasa USA wanakuja na conclusion wakata black box hawajapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe dada sijui unasimama kwenye nini, kwenye ule mjadala wa Iran kukataa kupeleka Black box Boeing ulikuwa kama pilipili

Sasa hivi unasema una suspect ndege ilitunguliwa

Unafikiria kwanini Boeing wali request black box from the first place?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nasimama na ukweli ,Stuation ninavyoiona. Nadhani mimi ni mchambuzi. Sinaga upande. Sema uchambuzi wangu unamfavor one of them.
 
Jamaa walijua drone nyingine imekuja kummaliza Ayatollah Khamenei kabisa

Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
 
Russia mbona nao walitungua ndege bahati mbaya si suala la teknolojia sometimes yanatokea tu.
Hao US wenyewe waliahi tungua ndege ya abiria ya Iran wakaua watu wote onboard
Ndiyo ile ya Malaysia airlines ile waasi wa Ukrain pro Russia ndo waliitungua bahati mbaya.
 
UsifateUngefatilia Kwanza hiyo ajali Kisha ndo ujekuandika lakin ukikurupuka na kudai hawana kosa lolote kwa sababu twamp kasema unaonekana humu we sawa na bendera tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa nadhani. Ile ndege ni Civil. Na wairan walikuwa wengi. Hivyo naamini kabisa ilikuwa tunguliwa na missile. Sema kwa bahati mbaya. Ila Iran kamwe hawawezi kukonfesi. Ila wanaregreat kimoyomoyo. Sema ili kusave image yao lazima hata hizo black boxes waziteketeze kabisa.
 
Iran wamesema black box wanayo na team ya watu wa ukrain wameenda iran kushurikiana nao ili kufanya uchunguzi. Sasa mna conclude vipi kuwa iran a meiangusha ndege? Au achome black box vipi wakati iran wamesema wanayo

Iran walisema Black boxes zimeharibika. Ila according to radar ni kama ndenge ilitaka kurudi uwanjani. Though Captains hawakuma msg yoyote.
 
Hujanielewa nadhani. Ile ndege ni Civil. Na wairan walikuwa wengi. Hivyo naamini kabisa ilikuwa tunguliwa na missile. Sema kwa bahati mbaya. Ila Iran kamwe hawawezi kukonfesi. Ila wanaregreat kimoyomoyo. Sema ili kusave image yao lazima hata hizo black boxes waziteketeze kabisa.
"This accident will be investigated by Iran's aviation organisation but the Ukrainians can also be present," he added.

US kuna kitu hapa wanataka kuficha kuhusu matatizo ya kiufundi ya ndege za Boeing.
 
Kwahio pia na Marekani ni mtoto mdogo alipoitungua ile ndege ya abiria ya Iran wakafa abiria zaidi ya 200, unafki unawasumbua sana, ilipotunguliwa na marekani ndege ya abiria ya Iran ulimwengu kimya ila hii haijulikani chanzo mnaanza kubweka Dunia nzima
Ndiyo tatizo la kukurupuka kushindana na mkubwa wako. Iran bado mtoto mdogo ktk matumizi ya sayansi na teknolojia hivyo aache kufurukuta na kujitutumua ktk masuala makubwa mawili ya Geopolitics na military power, ataingia ktk mabalaa mengi.

George Friedman : Geopolitics matter :

Source: Danube Institute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I believe this in not true. Iam strongly conviced that,the plane was hit by one of the Missiles.

You may be brought before International court for enquiry, mind you, innocent people have been killed, there is loss of lives, people have lost their beloved ones, it is a deep heart felt pain for just saying "I believe Iran shot it down by one of the missiles".
 
Back
Top Bottom