Hila Iran wamekubali wenyewe ndio waliotungua hiyo ndegeNilijua tu.iran msikabidhi hicho kibox cheusi kwa Boeing mtaambiwa mliweka mabomu.siasa hizi leo marekani wanacheza level moja na ccm. Time flies
Alafu leo waruhusiwe kurutubisha vinu vya nyuklia watengeneze silaha,kama wameshindwa kutofautisha ndege ya abiria itakuwaje wakiwa na silaha za nyuklia sitakuwa kila wakilosea watasema ''human error''.Hawa ni devil incarnates, waliitungua kimakosa, wakaanza kusingizia vitu vya uongo, mara ngede ilikuwa na shida, mara black box imeharibika. Wakati huo Mmarekani kasema kwa ushahidi wa Salelite ndege ilipigwa makombora mawili, pressure ilivyozidi muajemi hakuna namna basi kakubali lakini akijijitetea hii ilitokana na tension iliyosababishwa na USA. Hii inatoa picha kuwa kama Tehran ambapo ndio centre ya intelligence na vifaa vya kijeshi , hawawezi kutofautisha kati ya ndege ya kivita na ndege ya abiria iliyotokea hapo hapo Tehran basi kuna shida kubwa ipo somewhere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuaje US wakashindwa kutofautisha ndege ya kiraia na kijeshi?Alafu leo waruhusiwe kurutubisha vinu vya nyuklia watengeneze silaha,kama wameshindwa kutofautisha ndege ya abiria itakuwaje wakiwa na silaha za nyuklia sitakuwa kila wakilosea watasema ''human error''.
Kuliko washenzi waki US walotangaza kama IRAQ Kunasilaha Zamaangamizi ?!.... mbona mwanzo Iran hao hao walisema ndege ilikuwa na mechanical fault na ili-delay kuruka kwa masaa kadhaa kabla ya tatizo kurekebishwa? Waajemi kweli ni washenzi! Kwa uongo nimewakubali!
US =PAPER TIGER....Iran is played as a bad guy, to justify invention open your eyes
Msione USA kama amesarenda
Sent using Jamii Forums mobile app