Marekani kashindwa kuikinga Israel dhidi ya ICBM

Marekani kashindwa kuikinga Israel dhidi ya ICBM

Hii inaleta ujumbe kuwa kama watu wakiamua kuichakaza hiyo nchi ya kizayuni wanaichakaza vibaya sana.
Ila USA,UK na Germany wanaibeba sana hii nchi.
Ngojea tusikie watasemaje.
Maisha wa Waisrael yamekuwa magumu kidogo maana kila baada ya mda manakimbilia shimoni kama Kenge.
Lakini sio mbaya wache washiriki HOUTHI JOGGING wapunguze vitambi
 
Mifumo ya israel ina intercept missile ambazo zinatagert maeneo muhimu tu. Missile hiyo imeanguka porini ina impact gani? Hata ivyo wasubiri majibu
Usitake kutudanganya huongei na watoto hapa.
We unajuaje kama hilo kombora litaangukia wapi!?
ADS kazi yake ni interception of any airspace threat.
 
Tuwekee na chanzo cha habari. Tunachokijua ni kuwa vipande fragments ndizo zilizofika baada ya interception, poleni sana.
Unamuongopea nani wewe!?
Lile kombora Israel wamefeli kulidungua,badala yake zile missile intercepter zikaanguka railway station.
Ila hawakuweza kulidungua.
 
Hii inaleta ujumbe kuwa kama watu wakiamua kuichakaza hiyo nchi ya kizayuni wanaichakaza vibaya sana.
Ila USA,UK na Germany wanaibeba sana hii nchi.
Ngojea tusikie watasemaje.
Chuki kwa wayahudi kama aliyokuwa nayo bwana mwamedi
 
🚨🇾🇪🇮🇱 The Iron Dome missile, after failing to intercept the Yemeni missile, fell on a shopping mall and a train station in occupied Tel Aviv.

The Yemeni missile was able to bypass 22 Zionist air defense points, and no missile was able to shoot it down.
Sasa sheikh Ina maana huo ndio uharibifu uliosababishwa na hilo kombora la hao Houth? Baada ya hapo IDF anaenda kuimalizia Ile bandari vitega uchumi vingine huko Yemen sasa nani atakuwa amepoteza zaid?
 
Chuki kwa wayahudi kama aliyokuwa nayo bwana mwamedi
Hatuna chuki na mtu bali tunaeleza uhalisia.
Hata Adolf Hitler alikua na chuki na wayahudi.
Na kawaacha ili tujionee kwanini aliwachukia wayahudi.
 
Hii inaleta ujumbe kuwa kama watu wakiamua kuichakaza hiyo nchi ya kizayuni wanaichakaza vibaya sana.
Ila USA,UK na Germany wanaibeba sana hii nchi.
Ngojea tusikie watasemaje.
Mkuu usichokijua ni kwamba hakuna nchi hata moja mashariki ya kati na waarabu wengine wanaofurahia uwepo wa Israel wote wanatamani kuifuta kwenye uso wa Dunia ila wameshindwa kwahiyo uwepo wao sio wa bahati mbaya Bali uimara walionao kupambanbana na maadui zao na kadti anavyopambana na kushinda ndio wanakuwa imara zaidi na zaidi
 
Laana ya Muumbaji ni ya kuiogopa sana kuliko kitu kingine chochote.Unaishi kidhalili mno hapa duniani hata kama ni tajiri kiwango gani.
 
Mkuu usichokijua ni kwamba hakuna nchi hata moja mashariki ya kati na waarabu wengine wanaofurahia uwepo wa Israel wote wanatamani kuifuta kwenye uso wa Dunia ila wameshindwa kwahiyo uwepo wao sio wa bahati mbaya Bali uimara walionao kupambanbana na maadui zao na kadti anavyopambana na kushinda ndio wanakuwa imara zaidi na zaidi
Huo uimara kaka haujaja kwa hivi hivi.
Msaada wa magharibi unasaidia sana wao ku survive.
Wana mikono yenye nguvu kutoka Ulaya na Marekani ndio inawafanya wasalimike.
Ndio maana hata vita ya Gaza ilipoathiri uchumi wao financial aids zilitoka USA ku sustain economy yao.
 
Anayesemekana ni Supapawa Putin himself anaomba msaada sembuse Israel!! Vita vya siku hizi bila kuwa na allies na wewe kuwa ngangari hutoboi.
 
Anayesemekana ni Supapawa Putin himself anaomba msaada sembuse Israel!! Vita vya siku hizi bila kuwa na allies na wewe kuwa ngangari hutoboi.
Putin anapigana na Ukraine ambayo inapewa misaada na NATO bro.
Usifananishe na Israel ambaye anapigana na waarabu wasiokua na muelekeo kina Lebanon na Yemen.
Putin amewekewa hadi vikwazo vya kiuchumi ili adhohofishwe.
Na waliomuwekea na ni wababe wa dunia.
Tuache utani.
 
Israel naye anapambana na Iran kupitia Hamas, Hizbullah na Houth usimchukulie poa pia
 
Iran ni taifa kubwa huoni pamoja na vikwazo vya magharibi ila bado ni tishio mpaka anafikia hatua ya kugawa silaha kwa supapawa wa mchongo.
Umeshinda mkuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌.
Tunajua Iran mbishi ila tuache utani Germany,USA na UK ni moja ya wababe wa dunia.
Iran ni mbishi tu basi.
 
Back
Top Bottom