Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Nikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui.
Johnthebaptist,

Ukisoma ujumbe wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni kuwa vikwazo hivyo vitawagusa siyo tu baadhi ya waliopo ktk Tume ya Uchaguzi bali pia maofisa na viongozi wengine watendaji ktk mihimili yote ya dola walioshiriki katika mchakato wa kuhujumu zoezi zima ngazi ya kabla ya uchaguzi, wakati wa kampeni, wakati wa uteuzi wa wagombea nafasi ngazi zote (kurudisha fomu), wakati wa siku ya Uchaguzi na wakati wa kutoa matokeo n.k :

Visa Restrictions on Tanzanians for Undermining the Democratic Process and Human Rights​

PRESS STATEMENT
MICHAEL R. POMPEO, SECRETARY OF STATE
JANUARY 19, 2021
Washington, D.C
The United States of America

Today, the United States is announcing visa restrictions on Tanzanian officials responsible for or complicit in undermining Tanzania’s October 28, 2020, general elections.

The actions of these officials subverted the electoral process, continuing the downward trajectory of the country’s democracy.

Election observers and civil society noted widespread irregularities as well as human rights abuses and violations before, during, and after the election.

Opposition candidates were routinely disqualified, harassed, and arrested. Significant and widespread voting irregularities, internet disruptions, intimidation of journalists, and violence by security forces made this election neither free nor fair.

Civil society leaders remain under threat in the post-election period, and opposition leaders have fled the country out of fear for their safety.

We urge the Government of Tanzania to reverse course and hold accountable those responsible for the flawed election, violence, and intimidation.

The United States will continue to closely follow developments in Tanzania and will not hesitate to take additional actions against individuals complicit in undermining democracy and violating human rights.

Finally, we emphasize that today’s actions are not directed at the Tanzanian people. We commend Tanzanians who participated in the election peacefully and in good faith, and we will work together with all those committed to advancing democracy, human rights, and mutual prosperity.
Source : Visa Restrictions on Tanzanians for Undermining the Democratic Process and Human Rights - United States Department of State
 
Ukishakua masikini na omba omba utababaishwa tu. Hakuna namna.
Napenda jibu lako, kuwa ukishakuwa maskini na omba omba utababaishwa tu. Hii ndiyo maana Trump ambaye kwao hasheshimiki na haamini kuhusu demokrasia/uchaguzi huru anataka kuifundisha TZ eti kwa sababu ni maskini. Inabidi TZ kwa makusudi tusikubali kuyumbishwa eti kwa vile tunaonyeshwa kikaroti.

Tanzania inaweza kujitegemea na tukitaka uhuru wa kweli inabidi tujitegemee ili wakisema tutawanyima hiki, tuwaambie kaeni nacho. Mbona miaka mitano iliyopita iliwezekana kugharimia miradi na pesa ya ndani tu! Tatizo ni pale tunapojiaminisha kuwa bila misaada hatuendi popote. Basi hao watoa misaada nao wamejuwa tunavyowatetemekea kwa misaada.

Ukweli ni kuwa misaada yote tuliyopata kwa zaidi ya miaka 40 bado haifui dafu kwa kazi ya fedha ya ndani za miaka mitano iliyopita (2015-2020). Hata wenyewe sasa wanajuwa ndiyo maana mikataba ya madini siyo ile ya kiwizi na unyonyaji. Thank God kibaraka wao Zitto, sasa yuko nje. Maana huyu ndiye alikuwa mtetezi wa kila ovu la investors.

Ukija wizi wa EPA yumo. Ukija kutetea mchanga yumo. Ukija kwenye imani ya TZ kushitakiwa na kufirisiwa eti kwa kudai mgao yumo. Yeye ujanja wako wote ulikuwa kujitajirisha kwa sababu ya domo kubwa la kuongea na pia kuiba siri za serkali kwa kutumia ubunge. Kaa nje na tafakari mabaya uliyoifanyia TZ kwa ajili ya tumbo lako.
 
Mbona Makonda kazuiliwa na maisha yanaendelea manka?

Marekani kitu gani bhana dunia iko kiganjani!
Wewe hujui kitu nyamaza! Wenye kuelewa madhara ya vikwazo hivyo wako kimya na kumuomba Mungu wasiwemo katika list.
Unaandika sana humu, lakini maandiko yako mengi ni pumba kwa vile hutaki kujifunza kwa kutumia JF ukidhani wewe ni mjuaji kumbe vuvuzela.
Pole sana johnthebaptist
 
Serikali lazima itoe tamko rasmi kujibu hizi shutuma alizotoa Michael Pompeo ambaye ni top diplomat wa Marekani. Kukaa kimya siyo jibu, ni sawa na kukubali alichokisema Michael Pompeo. Fikiria kama enzi za Nyerere halafu Henry Kissinger aongee hivi. Lazima Nyerere angeunguruma.
Hivi kwenda Usa ni big deal sana ee?
 
Bahada ya hapo ICC ,watu utawasikia Mara Icc maneno tu, Mara tz ni nchi huru,nani kamwambia wewe ! KWA lipi unalo,KWA nguvu gani ya kijeshi unayo wewe, nilisema hum na sio siku nyingi lipo jambo kubwa kuliko bahari ya sham litaikumba EA ,na hakuna wa kulizuia,dam changa zitawatesa sana
Kwenda USA ni big deal sana kumbe?

Nani ana shida na kwenda Marekani siku hizi?
 
Kama ulishawahi kuomba viza ya Uingereza ndio utaelewa adhari ya hii kitu. Kuna sehemu unaulizwa kama ulishawahi kukataliwa au kusitishiwa viza ya nchi nyingine kama Marekani.
Sasa kama huna shida ya kwenda kwenye hizo nchi kina Mahera wanaathirika vipi?
 
Kwenda USA ni big deal sana kumbe?

Nani ana shida na kwenda Marekani siku hizi?
Mkuu upo saa moja na dakika 7, naona ndo umemaliza piga filigisi za tahusi, Sasa mtu Kama wewe shida za nchi wazijua wapi mkuu, haya tuachie sie makabwela mkuu, hasubuhi njema mkuu
 
Siyo watanzania tu, kiufupi ile twit imeshambuliwa dunia nzima,

Marekani sasa hivi kawa paka tu
 
Anayepokea kijiti kutoka kwake ndio mbaya zaidi sasa kama ulikuwa hujui!

Democrat wana sera yao ya kukulisha demokrasia kwa lazima hata kama hutaki.
Watalisha nyie wachache wawahemee vizuri ..sie tayari tuna demokrasia yetu.
 
Hilo ni tamko la Serikali ya Marekani ambayo ipo wakati wote hata vibarua vya wafanyakazi fulani vitakwisha, wengine wanapokea saa hiyohiyo kuendeleza maamuzi ya huko nyuma yenye maslahi kwa Taifa...
Mkuu unasema ndege zitatupwpa baharini? Kweli kabisa?
 
Sijui sababu naamini US NI WANAAMINI KATIKA UHURU WA KUJIELEZA,kumfungia acc Trump manake UMEMINYA UHURU WA KUJIELEZA WA TRUMP.

Labda uniambie wewe.
Ndio mana huwa tunawaeleza demokrasia na uhuru usio na mipaka ni vurugu.
 
Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Unamfananisha Nyerere na hawa a$$hle!!!?
 
Upuuuuzi mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.

Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Hahaha hata uhuru wa kujieleza una mipaka yake. Ikifikia mahali rais ana ifluence vikundi vya vurugu kisa tu hakubaliani na matokeo.. basi lazima achukuliwe hatua.

Trump hajaonewa. Kalikoroga mwenyewe
 
Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Mkuu mihemuko na majibu rahisi rahisi hayajengi.
Utawala wa Trump kupitia State Department wametoa hili tamko miezi miwili na nusu baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020.

Hawakukurupuka, wamefanya uchunguzi.

Nasi tujisahihishe, kama alivyosema wakati fulani Mwalimu Nyerere.
 
Pompeo amebakisha dakika chache tu aende kulima

Hizo restrictions sijui hata wanamuwekea Nani, wanadhani US ni sehemu ya hijja?
 
Waliokuwa wanauliza Pompeo ndio nani nafikiri sasa watamfahamu zaidi.
 
Back
Top Bottom