The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Achana na hadithi za kijinga, miradi gani imegharamiwa na pesa za ndani?Napenda jibu lako, kuwa ukishakuwa maskini na omba omba utababaishwa tu. Hii ndiyo maana Trump ambaye kwao hasheshimiki na haamini kuhusu demokrasia/uchaguzi huru anataka kuifundisha TZ eti kwa sababu ni maskini. Inabidi TZ kwa makusudi tusikubali kuyumbishwa eti kwa vile tunaonyeshwa kikaroti.....
Wajunga kama nyie ndio mtaji wa ccm, kwa kua hamsomi hata taarifa ya serikali yenu dhaifu na ccm inajua hamjui kusoma hivyo hata ikiwadanganya waziwazi mnachekelea tu.
Eti pesa za ndani, upumbavu bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.